Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Yaani wewe serikali ikifanya poa mtu akapongeza ni ccm au ikifanya fyonko mtu akaponda basi ni mwanachama wa upinzani...Wewe unafaa ukue uzidi kujifunza kwa wenzio waliokomaa kisiasa.Naona maccm yanapigana yenyewe kwa yenyewe.
Mpinzani angeongea ungesema katumwa na mabeberu je na huyu mwana ccm mwenzako naye katumwa?
Ndio kijana mdogo we often import a quite amount of sugar from overseas.Hivi kumbe kipindi cha nyuma sukari ilikuwa inatokea nje?
Sasa za ndani vipi huwa hazitoshelezi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Gonjwa hili lilipofumka kila sekta ilitakiwa kujipanga na kuchukua hatua. Wengi waliangalia tu sekta ya afya wakasahau sekta zao.Alitakiwa ajipangaje labda? Hebu suggest
Bwashee mimi nina uzoefu na haya mambo so nilijiwekea akiba ya mwaka mzima!Bwaashe !kwanza umekunywa chai?mbona unaandika kama sukari imekata kwenye ubongo?mbona unayumba?au hauoni vizuri????
Rais ni Taasisi bwashee!Bwashee tuchat: Magufuli pia inamhusu, si kwa kukimbia majukumu yake. Nasikia "yupo zake chimbo" #HAFAI
Unaelewa maana ya huruma bwashee?Unawahurumia vipi wakati wana maisha mazuri kuzidi wewe tena wanaweza kufukuzwa au kujiudhulu uwaziri wakawa na uwezo wa kulisha familia yako. Watu wa kuhulumia ni yatima, wajane, walemavu wazee walio masikini
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23]