kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Kuna sehemu hivi huwa napiga menu ,ni hii migahawa ya mtaani maarufu kama kwa mama ntilie.so nimeanzisha mahusiano ya kimapenzi na huyu demu,ebana she is very loyal and respective kwangu.
Jana usiku wakati namgegeda nikamuuliza mtaji anataka nimuongezee kiasi gani,kaniambia laki 2 na nusu tu inahitajika,leo nimempa yote. Kaniambia kodi ya pango ni hadi mwezi wa 9 huko,anapoishi pia kodi ni hadi mwezi wa 7 huko.so labda cost ninazohitajika kutoa ni mambo madogo madogo like kusuka na mambo kama hayo.
Hamieni huku wajuba.