Nawaibia siri wanaume wenzangu,Mama ntilie ni wife materials.

Nawaibia siri wanaume wenzangu,Mama ntilie ni wife materials.

Kuna sehemu hivi huwa napiga menu ,ni hii migahawa ya mtaani maarufu kama kwa mama ntilie.so nimeanzisha mahusiano ya kimapenzi na huyu demu,ebana she is very loyal and respective kwangu.
Jana usiku wakati namgegeda nikamuuliza mtaji anataka nimuongezee kiasi gani,kaniambia laki 2 na nusu tu inahitajika,leo nimempa yote. Kaniambia kodi ya pango ni hadi mwezi wa 9 huko,anapoishi pia kodi ni hadi mwezi wa 7 huko.so labda cost ninazohitajika kutoa ni mambo madogo madogo like kusuka na mambo kama hayo.
Hamieni huku wajuba.
mpo 12x250000=3ml
 
Kuna mmoja nilianzisha naye mahusiano kabla hajawa mama ntilie. Akaja kuanza kazi mambo yalikua mepesi sana kwangu maana ile treatment nilikua napewa ni ya kiwango cha SGR. Vihela alikua hakaukiwi kwa hiyo vipengele kwangu vikapungua
 
Back
Top Bottom