Hujaelewa mada, bado nasisitiza.Mnasifia vibovu na hamtaki kurekebishwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujaelewa mada, bado nasisitiza.Mnasifia vibovu na hamtaki kurekebishwa.
Takwimu.Acha kuukosea mpira heshima. Huo ubora uto hana na haijawahi kuwa na ubora wa kuimbwa hapa Afrika mashariki achilia mbali Afrika. Leta takwimu na sio porojo.
Kuna timu inaongoza kuchukua kagame cup,kuna timu inaongoza kuchukua kombe la tusker,kuna timu imeingia robo fainali mara nyingi zaidi klabu bingwa,kuna timu iliwahi kucheza fainali kombe la caf nyakati hizo.neno PEKEE lisitumike vibaya.KUNA TIMU NI YA SITA KATIKA TIMU BORA ZA KIAFRICA.Takwimu.
Bingwa inaenda ×5 mfululizo Ligi kuu Bara
Bingwa ×30 Ligi kuu Bara
Bingwa FA mfululizo kuliko timu yyt Tz
Bingwa Ngao kuliko timu yyt Tz
Timu pekee kucheza fainali CAF
Timu pekee iliyocheza michezo 49 unbeaten katika historian ya Afrika
Timu pekee yenye medali ya CAF Tz
Timu pekee Afrika iliyotoka nafasi ya 73 mpaka 11 CAF kwa miaka mitatu pekee, fikiria miaka 3 ijayo itakuwaje
N.k
Hiyo timu imewahi kuwa Bingwa wa nchi mara 30? Hiyo timu imewahi imewahi kusogea nafasi ya 73 mpaka 11 ndani ya miaka mitatu? Hiyo timu ine record ya 49 unbeaten? Hiyo timu ina medali ya CAF? Kuna timu yenye makombe mengi ya FA, Ngao na idadi kubwa zaidi ya vikombe EA zaidi ya Yanga? Achana na habaribza robo fainali, hayo si mafanikio, kuna medali ya robo fainali? Kombe la Kagame sijui Mapinduzi sijui Tusker ni mashindano yasiyo na tija. Pia tunazungumzia current form kwa walau miakq minne nyuma, ambapo YANGA amekuwa BINGWAK
Kuna timu inaongoza kuchukua kagame cup,kuna timu inaongoza kuchukua kombe la tusker,kuna timu imeingia robo fainali mara nyingi zaidi klabu bingwa,kuna timu iliwahi kucheza fainali kombe la caf nyakati hizo.neno PEKEE lisitumike vibaya.KUNA TIMU NI YA SITA KATIKA TIMU BORA ZA KIAFRICA.
Simba wako shirikisho ndio current form kwa sasa.Au SIJUI kiingereza Cha karenti.Hiyo timu imewahi kuwa Bingwa wa nchi mara 30? Hiyo timu imewahi imewahi kusogea nafasi ya 73 mpaka 11 ndani ya miaka mitatu? Hiyo timu ine record ya 49 unbeaten? Hiyo timu ina medali ya CAF? Kuna timu yenye makombe mengi ya FA, Ngao na idadi kubwa zaidi ya vikombe EA zaidi ya Yanga? Achana na habaribza robo fainali, hayo si mafanikio, kuna medali ya robo fainali? Kombe la Kagame sijui Mapinduzi sijui Tusker ni mashindano yasiyo na tija. Pia tunazungumzia current form kwa walau miakq minne nyuma, ambapo YANGA amekuwa BINGWA
Upo serious? Huko shirikisho kuna club bingwa nchini kwake? Unalinganisha ugumu wa Cafcl na shirikisho?Simba wako shirikisho ndio current form kwa sasa.Au SIJUI kiingereza Cha karenti.
Hakika aliyewaita utopolo alitafakari mbali sanaYanga ni timu inayo 'enjoy' sana kucheza katika space. Ni timu inayofurahia sana aina ya soka la 'kutembeza ball'. Ile falsafa ya coach Ramović ya 'Gusa achia twende kwao' haikuanza kwake, bali imekuwa falsafa ambayo naweza kusema ni ya Rais wa club, Eng.Hersi Said. Rais wa Yanga ni aina ya kiongozi anayehusudu soka la kutembea, ndiyo maana tangu alipochukua timu na kumpatia Nabi, aina ya wachezaji anaosajili, mpaka kwa huyu wa mwisho, Jonathan Ikangalombo ni aina ya wachezaji wenye kasi sana.
Sasa, tuje kwenye timu za ligi kuu pamoja na zile za club bingwa barani Afrika, ukitazama kwa umakini, Jambo ambalo timu nyingi za Ligi kuu, mfano Azam, Namungo, Mashujaa, Simba, KMC nk. Ukiangalia aina ya makosa wanayofanya yanayosababisha kufungwa ni yale yale na yanajirudia, kosa kubwa ni hili " KUTOMPATIA YANGA HESHIMA YAKE KAMA TIMU KUBWA" au kitaalam kukataa kuwa second team inapokutana na Yanga na kushindwa kucheza kwa mbinu na nidhamu.
Hakuna club Tanzania hata Afrika kiujumla yenye wachezaji bora kwa kuangalia ubora wa mchezaji 'mmoja mmoja' kama Yanga. Kama kuna timu zingine basi ni chache. Ndiyo maana ukichunguza timu zilizoifunga au kutoa sare ni timu zilizotumia mbinu zaidi na ziliingia kama underdog na kuiheshimu Yanga na si 'vuta nikuvute' wakitambua ubora wa wachezaji wa Yanga endapo wakienda bampa to bampa. Tazama mchezo dhidi ya Al hilal, MC Alger,JKT, Tabora utd,Azam (japo majeruhi yaliathiri mchezo) Ila wote hao waliingia kwa nidhamu na wakafanikiwa kuokota alama.
Ubora wa Yanga upo kwenye 'spaces' na wanaenjoy 'kutembeza ball' ukicheza na Yanga na wewe ukataka 'kutembeza ball' ni sawa na kupigana na mamba kwenye maji [emoji3] yeye ataenjoy zaidi, Refer michezo miwili dhidi ya Mamelodi sundowns, Kaizer chiefs au dhidi ya CR Belouizdad.Ndiyo maana wanasema Yanga ni hatari zaidi wasipokuwa na mpira, Unajua kwanini? Kwa sababu mara nyingi timu pinzani zinapomiliki mpira zinajisahau na kuachia 'spaces' na mara wanapopoteza mpira wanachelewa kuziba! Hapo ndipo uhatari ulipo!
Ukija kwenye Ligi kuu, tusidanganyane, Hakuna middle bora ya mpira kumzidi Aucho, Hakuna striker yenye nguvu na kasi kama Mzize, Hakuna ball dancer na box player kama Pacome zouzoa, Max Nzengeli, Hakuna beki zinazoshuka na kutoa killer pass kama Yao kouassi, na mwenye speed kama Chadrack Boka, hapo sijazungumzia booster zingine kama hiyo Ikangalombo.Hakuna namba 10 hatari na yenye msuli kama Aziz ki, Chama, achana na Mudathir. Hao wachezaji sio tu kwenye ligi bali ni wachezaji bora sana Afrika katika nafasi zao na wanaanza kikosi chochote cha kwanza Afrika.Siku wakiamka vizuri wakacheza katika 100% ni hatari tupu kwa timu isiyotaka kuwaheshimu.
Sasa kwa ubora huo wa mchezaji mmojammoja, baadhi ya timu hazishtuki na hazitaki kucheza kwa heshima na nidhamu, Zinataka kwenda kiulalo ulalo! Halooo [emoji3]
Hakuna timu yenye uwezo wa kufunguka na kwenda kiulalo ulalo na Yanga! Ukifanya hivyo utaambulia 6,2,3,1,5 zinasoma kwenye ubao [emoji3]
Ulivyo "mpumbavu" umeandika wanaanza "kikosi chochote Cha kwanza Africa" jipige kifua na kutamka Mimi ni mjinga team iliyoshika nafasi ya tatu kwenye makundi ya Caf cl iwe na wachezaji Bora wa kuingia team yoyote Africa?Unatatizo la afya ya akiliYanga ni timu inayo 'enjoy' sana kucheza katika space. Ni timu inayofurahia sana aina ya soka la 'kutembeza ball'. Ile falsafa ya coach Ramović ya 'Gusa achia twende kwao' haikuanza kwake, bali imekuwa falsafa ambayo naweza kusema ni ya Rais wa club, Eng.Hersi Said. Rais wa Yanga ni aina ya kiongozi anayehusudu soka la kutembea, ndiyo maana tangu alipochukua timu na kumpatia Nabi, aina ya wachezaji anaosajili, mpaka kwa huyu wa mwisho, Jonathan Ikangalombo ni aina ya wachezaji wenye kasi sana.
Sasa, tuje kwenye timu za ligi kuu pamoja na zile za club bingwa barani Afrika, ukitazama kwa umakini, Jambo ambalo timu nyingi za Ligi kuu, mfano Azam, Namungo, Mashujaa, Simba, KMC nk. Ukiangalia aina ya makosa wanayofanya yanayosababisha kufungwa ni yale yale na yanajirudia, kosa kubwa ni hili " KUTOMPATIA YANGA HESHIMA YAKE KAMA TIMU KUBWA" au kitaalam kukataa kuwa second team inapokutana na Yanga na kushindwa kucheza kwa mbinu na nidhamu.
Hakuna club Tanzania hata Afrika kiujumla yenye wachezaji bora kwa kuangalia ubora wa mchezaji 'mmoja mmoja' kama Yanga. Kama kuna timu zingine basi ni chache. Ndiyo maana ukichunguza timu zilizoifunga au kutoa sare ni timu zilizotumia mbinu zaidi na ziliingia kama underdog na kuiheshimu Yanga na si 'vuta nikuvute' wakitambua ubora wa wachezaji wa Yanga endapo wakienda bampa to bampa. Tazama mchezo dhidi ya Al hilal, MC Alger,JKT, Tabora utd,Azam (japo majeruhi yaliathiri mchezo) Ila wote hao waliingia kwa nidhamu na wakafanikiwa kuokota alama.
Ubora wa Yanga upo kwenye 'spaces' na wanaenjoy 'kutembeza ball' ukicheza na Yanga na wewe ukataka 'kutembeza ball' ni sawa na kupigana na mamba kwenye maji 😀 yeye ataenjoy zaidi, Refer michezo miwili dhidi ya Mamelodi sundowns, Kaizer chiefs au dhidi ya CR Belouizdad.Ndiyo maana wanasema Yanga ni hatari zaidi wasipokuwa na mpira, Unajua kwanini? Kwa sababu mara nyingi timu pinzani zinapomiliki mpira zinajisahau na kuachia 'spaces' na mara wanapopoteza mpira wanachelewa kuziba! Hapo ndipo uhatari ulipo!
Ukija kwenye Ligi kuu, tusidanganyane, Hakuna middle bora ya mpira kumzidi Aucho, Hakuna striker yenye nguvu na kasi kama Mzize, Hakuna ball dancer na box player kama Pacome zouzoa, Max Nzengeli, Hakuna beki zinazoshuka na kutoa killer pass kama Yao kouassi, na mwenye speed kama Chadrack Boka, hapo sijazungumzia booster zingine kama hiyo Ikangalombo.Hakuna namba 10 hatari na yenye msuli kama Aziz ki, Chama, achana na Mudathir. Hao wachezaji sio tu kwenye ligi bali ni wachezaji bora sana Afrika katika nafasi zao na wanaanza kikosi chochote cha kwanza Afrika.Siku wakiamka vizuri wakacheza katika 100% ni hatari tupu kwa timu isiyotaka kuwaheshimu.
Sasa kwa ubora huo wa mchezaji mmojammoja, baadhi ya timu hazishtuki na hazitaki kucheza kwa heshima na nidhamu, Zinataka kwenda kiulalo ulalo! Halooo 😀
Hakuna timu yenye uwezo wa kufunguka na kwenda kiulalo ulalo na Yanga! Ukifanya hivyo utaambulia 6,2,3,1,5 zinasoma kwenye ubao 😀
Ukifingwa means wewe ni dhaifu kwa mechi husika acha kujitetea ohhh waliiheshimu Yanga , unamaanisha timu zote duniani huwa zinafungwa kisa haziwaheshimu wapinzani wao? Timu zinaweza kufanana falsafa na mshindi akapatikana kwa kupishana hizo ngonjera za kupishana tuliziona kwa Simba alipochapwa 3-0 kwa mkapa tuliaminishwa ukipishana na Simba kwa Mkapa umekwisha jamaa wakapishana na Simba kiume na Simba akapigwa kirahisi kabisa.Adui hapewi uhuru ukimpa uhuru anakumalizaHao walicheza kwa hiyo mbinu niliyoeleza hapo. Same kwa Tabora na Azam.Walicheza kwa kuiheshimu Yanga hawakutaka kukimbizana.