Utumishi wako fair
JF-Expert Member
- Nov 12, 2021
- 429
- 1,340
Big Noo Boss, Mimi ni muumini wa Kudra za Mwenyezi Mungu... Na nasema kwa sababu... Mimi sikupangwa nizaliwe yani nilizaliwa bila kuwa na maamuzi... Na hata haya maisha yangu ni Allah ndio anaya control nasema hivyo kwann???Kama unajua kiingereza naweza kukutumia Kitabu ila Maisha yako wewe unayoishi umeyachagua wewe mwenyewe either kwa kupenda au kwa kutokupenda hivyo kila kinachotokea katika MAISHA yako wewe mwenyewe ndo umekifanyia manifestation Udhihirisho
Hata umasikini au Mafanikio ni mtu huwa anachagua ikiwemo hizo ndoto unazoota
Wewe umejuaje hakuna mtu amewahi kuota ndo za chooni au bafuni?Suala langu:
Nimekuwa nikisikia Mengi kuhusu ndoto, Wengine mara oohh sijui mlango wa kuyaona yaliyopo nyuma ya Dunia, Mambo yasiyoonekana etc.
Wengine wanasema kuwa ndoto ni matukio ambayo tunayafanya kila siku...yanajikusanya.
Swali langu:. Kwanini Hajawahi tokea Binadamu yoyote akaota ndoto yupo chooni anaoga?
Hajawahi tokea na hatakuja kutokea. Sasa wajuvi wa mambo nipeni jawabu la swali hili.
Mkuu hakuna , Tokea dunia inaumbwa Mpka leo na Mpka kesho.... Na nina weza kukwambia kwann.... Na hatotokea shuhuda humu akasema amewahi ota hivyo.Wewe umejuaje hakuna mtu amewahi kuota ndo za chooni au bafuni?
Tuambie ni kwanini?M
Mkuu hakuna , Tokea dunia inaumbwa Mpka leo na Mpka kesho.... Na nina weza kukwambia kwann.... Na hatotokea shuhuda humu akasema amewahi ota hivyo.
Na Mimi mwenye ujuzi na masuala ya ndoto ya kufanya mapenzi sura tofauti tofauti anisaidie maana zinanitesa sana nikipata mchungaji wa kiroho wa ukweli aweze kuniondolea hili jini mahaba nitashukuru sana
Binadamu yupo na free will (utashi) ila linapokuja swala ya yeye aishije hapa Duniani ndo huwa anaitumia hiyo free katika manifest ya mambo ambayo yanahitaji kukaa upande wake ila then Mimi nimelenga kuhusu lifetime mzunguko wa Maisha hapa DunianiBig Noo Boss, Mimi ni muumini wa Kudra za Mwenyezi Mungu... Na nasema kwa sababu... Mimi sikupangwa nizaliwe yani nilizaliwa bila kuwa na maamuzi... Na hata haya maisha yangu ni Allah ndio anaya control nasema hivyo kwann???
Kwa sababu kama ni mimi ndio naamua maisha yangu yaweje, kwann sina uhakika na kesho yangu au baadae yangu??
Chooni ni sehemu ya kuoga?Suala langu:
Nimekuwa nikisikia Mengi kuhusu ndoto, Wengine mara oohh sijui mlango wa kuyaona yaliyopo nyuma ya Dunia, Mambo yasiyoonekana etc.
Wengine wanasema kuwa ndoto ni matukio ambayo tunayafanya kila siku...yanajikusanya.
Swali langu:. Kwanini Hajawahi tokea Binadamu yoyote akaota ndoto yupo chooni anaoga?
Hajawahi tokea na hatakuja kutokea. Sasa wajuvi wa mambo nipeni jawabu la swali hili.
Ww ni muislam au mkristo?Nilishawahi kuota nimepoteza vyeti vyangu vya shule vyote na baada ya kuvitafuta sana nikavikuta chooni nikasepa navyo.
Kama baada ya wiki mbili hivi nikawa napiga stori na mzee wangu,nikamuelezea hyo kitu. Alishangaa sana akaniambia ahata yeye aliota nmepoteza vyeti vyangu siku ileile lakini yeye alichukua uamzi wa kwenda kwa mjumbe ili awatangazie watu wake kama kuna mtu amechua vile vyeti.
Ile ndoto sikuwahi kuisahau maisha yangu yote kwasababu huwa nahisi ndyo inanifanya mapaka leo maisha yangu hayaeleweki kabisa.
Hakuna mtu mwenye msaada kwa hii ishu jamani?
I second yu Brother!Kama unajua kiingereza naweza kukutumia Kitabu ila Maisha yako wewe unayoishi umeyachagua wewe mwenyewe either kwa kupenda au kwa kutokupenda hivyo kila kinachotokea katika MAISHA yako wewe mwenyewe ndo umekifanyia manifestation Udhihirisho
Hata umasikini au Mafanikio ni mtu huwa anachagua ikiwemo hizo ndoto unazoota
Umechemka, kweni nini maana ya imani? Kama unaamini usichoona kua kinafanya kazi kwako basi unaweza kuamini nature kupitia mawazo yako ikafanya kazi utakavyoBig Noo Boss, Mimi ni muumini wa Kudra za Mwenyezi Mungu... Na nasema kwa sababu... Mimi sikupangwa nizaliwe yani nilizaliwa bila kuwa na maamuzi... Na hata haya maisha yangu ni Allah ndio anaya control nasema hivyo kwann???
Kwa sababu kama ni mimi ndio naamua maisha yangu yaweje, kwann sina uhakika na kesho yangu au baadae yangu??
👊I second yu Brother!
Kila kitu akifanyacho Mwanadamu katika ulimwengu huu,Kwanza huanza nakutolewa maamuzi kwenye ulimwengu wa kiroho...
Na ndoto ni summary ya Ulimwengu wa kiroho kuhusu Jambo fulani na ndo maana kuna kipindi mtu anaweza kuota kitu na akashangaa kimetoa...
Jibu ni kwamba kile kitu kimtokea kwa sababu tayari kilikwisha tokea katika ulimwengo wa kiroho...
Kwa hiyo anachokiona ni Summary tu
Mara nyingi naota ndoto za kuogaSwali langu:. Kwanini Hajawahi tokea Binadamu yoyote akaota ndoto yupo chooni anaoga?