Nawaita wataalamu wa ndoto, wachawi , wajuvi wa mambo, wadadisi, wanazuoni, mafundi wa masuala ya kiroho. Mnipe jawabu ya hili jambo

Nawaita wataalamu wa ndoto, wachawi , wajuvi wa mambo, wadadisi, wanazuoni, mafundi wa masuala ya kiroho. Mnipe jawabu ya hili jambo

Na Mimi mwenye ujuzi na masuala ya ndoto ya kufanya mapenzi sura tofauti tofauti anisaidie maana zinanitesa sana nikipata mchungaji wa kiroho wa ukweli aweze kuniondolea hili jini mahaba nitashukuru sana
Tafuta haraka wananaombi au Mchungaji wa Kweli aliyeokoka.

Usaidiwe kuivunja NDOA hiyo ambayo tayari umefunga na Pepo.

Cheti Cha NDOA kifutwe, Pete uliyovikwa ivuliwe, Mahari waliyokutolea IRUDISHWE, hapa lazima ubebe sadaka. Ndipo AGANO la NDOA livunjike .

Muhimu uokoke, upate uongozi wa Roho mtakatifu, ikiwa uliwahi kujichua, kuangalia picha za ngono, au ulifanya UZINZI, kununua MAKAHABA, acha mara Moja,maana matendo hayo hukaribisha mapepo.
 
🤣🤣 Mkuu Mchungaji kwani anafanyaje kukusaidia wewe?? Si anaomba ? Sasa wewe unashindwa kuomba kwa Mungu.??

Boss Mungu Yupo, alafu anatenda na anajibu.... Ila sasa ukitaka kujibiwa kwa haraka unatakiwa uwe msafi wa mwili na roho yako isadiki....

Kama hujaoa Jichunge sana ,usizini thn omba all the Time within Mwaka mmoja tu... Mungu atakuwa kashakujibu na Pia utasahau ulichokuwa unaota.

Nyie Mungu Yupooo, na anatenda.
Mtu mwenye jini mahaba, ni mfungwa, amefungishwa NDOA na Pepo, mfungwa kujifungua pingu pekeake haezi,

Aende Kwa mtumishi wa Mungu, asaidiwe kutolewa katika kifungo hicho Cha NDOA fake.
 
Back
Top Bottom