MkristoWw ni muislam au mkristo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MkristoWw ni muislam au mkristo?
Tafuta haraka wananaombi au Mchungaji wa Kweli aliyeokoka.Na Mimi mwenye ujuzi na masuala ya ndoto ya kufanya mapenzi sura tofauti tofauti anisaidie maana zinanitesa sana nikipata mchungaji wa kiroho wa ukweli aweze kuniondolea hili jini mahaba nitashukuru sana
Mtu mwenye jini mahaba, ni mfungwa, amefungishwa NDOA na Pepo, mfungwa kujifungua pingu pekeake haezi,🤣🤣 Mkuu Mchungaji kwani anafanyaje kukusaidia wewe?? Si anaomba ? Sasa wewe unashindwa kuomba kwa Mungu.??
Boss Mungu Yupo, alafu anatenda na anajibu.... Ila sasa ukitaka kujibiwa kwa haraka unatakiwa uwe msafi wa mwili na roho yako isadiki....
Kama hujaoa Jichunge sana ,usizini thn omba all the Time within Mwaka mmoja tu... Mungu atakuwa kashakujibu na Pia utasahau ulichokuwa unaota.
Nyie Mungu Yupooo, na anatenda.