Nawakaribisha kuunda secret society kama Freemasons

Jamani hilo group la whatsapp vipi?? Kama bado mi nilitengeneze.

Kuna uwezekano members tukawa wengi sana zaidi ya 50. Tatizo la whatsapp group members mwisho 50, ila kuna Telegram inaruhusu mpk members 200 kwenye group. Kama mko tayari kila mtu ainstall Telegram kwenye simu yake, kisha tuanze kutupia namba hapa mm naunda group fastaaa. Haya naomba namba zenu wadau tafadhali...
 
Mkuu ni wazo zuri ila kwanini tusianzie whatsapp then watu tukifika 50 twende huko telegram?
 
Haina tatizo, langu lilikuwa wazo la nje ya box tu kwa kutizama mambo kwa upana wake. Lakini haina shida, twaweza anzia hapo Whatsapp ambapo wengi wapo. Nimekusoma namba yako PM, nakuadd sasa hv. Wale wanaituma namba watume PM pls ili kuepuka "matukio nyemelezi". Thanks.
 
nime ku pm namba yangu mkuu mshinyanga am inn na mm kwe hii group
 
Haina tatizo, langu lilikuwa wazo la nje ya box tu kwa kutizama mambo kwa upana wake. Lakini haina shida, twaweza anzia hapo Whatsapp ambapo wengi wapo. Nimekusoma namba yako PM, nakuadd sasa hv. Wale wanaituma namba watume PM pls ili kuepuka "matukio nyemelezi". Thanks.[/QUOTE

NA MIMI MNIADD KWENYE HILO WHATSAPP GROUP. NAMBA YANGU NI 0784 664341
N
 
Kila siku nilikua naogopa kuufungua huu uzi nikidhania ndo mambo yale yale ya kishirikina kumbe kuna mambo mazuri namna hii, kula LIKE mkuu kwa wazo bora namna hii
 
Kwa ushauri limit ya watu 50 ya whatsapp isitunyime usingizi kama group likijaa lianzishwe group namba mbili chini ya admn yule yule na malengo na dhima nzima ya kukutana iwe ni ile ile na kitakacho endelea kwny group namba moja pia kipostiwe namba mbili hii itasaidia kuwapatia nafasi watu wengi zaidi kushiriki katika kuyafikia hayo malengo yetu!!
 
Sasa ndiyo mtupie namba zenu muwekwe kwenye group. Group limeshaanza nabtayari members washaanza kufanya brainstorming. Mnachelewa jamani eeeeeeh....
 
Group limechachamaa kule jamani... Mnaotaka kuja mum PM mafioso
hongerereni sana wakuu kwa kuanza wengine tunakuja taratibu. kama kutakuwa na ishu ya kuupdate mni PM ili niweke kwenye post ya kwanza.
 
Haina tatizo, langu lilikuwa wazo la nje ya box tu kwa kutizama mambo kwa upana wake. Lakini haina shida, twaweza anzia hapo Whatsapp ambapo wengi wapo. Nimekusoma namba yako PM, nakuadd sasa hv. Wale wanaituma namba watume PM pls ili kuepuka "matukio nyemelezi". Thanks.[/QUOTE

NA MIMI MNIADD KWENYE HILO WHATSAPP GROUP. NAMBA YANGU NI 0784 664341
N

Muinjilisti karibu kwenye secret society
 
Last edited by a moderator:
Naombeni na mimi mni add. Nafanyaje fanyaje!!!
 
Back
Top Bottom