Nawakubali sana hawa members wa jf, Mzee wa kupambania, Natafuta ajira, Extrovert, Equation x, mzabzab, DeepPond, Robert mtibeli, Analyse na Umughaka

Nawakubali sana hawa members wa jf, Mzee wa kupambania, Natafuta ajira, Extrovert, Equation x, mzabzab, DeepPond, Robert mtibeli, Analyse na Umughaka

Shout out to you brothers, wengine kati yenu mna vipaji vya kuelezea story k.v Eric shigongo, wengine mnatoa post zenye falsafa iliyo timamu, wengine kati yenu huwa nikisomaga comments au post zenu mara nyingi huwaga nacheka kabla ya kujibu, wengine majina yenu ya humu yanachekesha, mara mwingine aseme eti ana-post huku anabubujikwa na machozi 😂😂😂😂

Bila kumsahau field marshall gentamcine 😂😂 na Lucas mwashambwa 😂😂😂😂😂

By the way maveteran wa jf k.v gudume na general galadudu sijui waliishiaga wapi 😂😂😂😂😂
Siitwi gentamcine naitwa GENTAMYCINE siku nyingine hakikisha hukosei kuandika ID yangu kwani ina Thamani Kubwa.
 
Back
Top Bottom