Shout out to you brothers, wengine kati yenu mna vipaji vya kuelezea story k.v Eric shigongo, wengine mnatoa post zenye falsafa iliyo timamu, wengine kati yenu huwa nikisomaga comments au post zenu mara nyingi huwaga nacheka kabla ya kujibu, wengine majina yenu ya humu yanachekesha, mara mwingine aseme eti ana-post huku anabubujikwa na machozi ππππ
Bila kumsahau field marshall gentamcine ππ na Lucas mwashambwa πππππ
By the way maveteran wa jf k.v gudume na general galadudu sijui waliishiaga wapi πππππ