Nawakumbusha, members wote wa JamiiForums

mbn mwaka wangu haupo hapa..
 
Mmh. Hebu wowa na wewe unasubiri nini umri unaenda huo. [emoji2] [emoji2]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ebu kuja kwenye jukwaa letu huku
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ebu kuja kwenye jukwaa letu huku
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ngoja niwahi [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Umri ni namba tu, tatizo mafanikio ya mbeleni ndio mpango mzima, waweza kuwa una 40 na uko nyumbani wakati mwenzako yuko na 25 na amefanikiwa usijali Mungu yupo na unaweza kufanikiwa ukiwa na 40+ wakati huyu aliefanikiwa akiwa na 25 kipindi hicho atakuwa na 25+ na amefulia
 
Dah, 91sina nyumba wala biashara yeyote town natumikia uindini madogo kibao kitaa wananisalimia mpka naona noma
 

Chek umri wako hapo na mambo unanayo fanya kama vinawiana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…