mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 7,938
- 17,729
Madarasa yameongezekaWala siku-challange!mwamko wa elimu zamani ulikuwa mdogo,hivyo number ya watoto ilibalance na mwalimu,siku hizi Elimu imepanuliwa,mitaala imeboreshwa,shule za kata zimejengwa kila Kona,wazazi wamehamasishwa wapeleke watoto shuleni Kwa wingi na wamefanya hivyo siku hizi hata kupata house dada ni kisanga,Cha ajabu walimu hamna...Sasa kusema elimu mbovu sio kweli sema tuna uhaba wa waelimishaji
Watoto ni wengi
Walimu ni wachache
Walimu wa masomo ya science ndio haha zaidi
Twende Sasa[emoji116]
Miundo mbinu bado ni haba, maabara na nyezo za ufundishaji kwa vitendo
Muwajibikaji namba moja hapa ni serikali
Bado watoto wetu wanasoma historia ya science na sio applied science
Bado muhusika ni serikali kushindwa kuandaa mitaala itakayo endana na Kasi ya dunia
Walimu wachache makazi, Ila mtaani walimu bado wapo wengi tu hawana hajira. Eg Mpwayungu Village
Serikali wakulaumiwa hapa, yeye ndio mtoa hajira[emoji115]
Walimu wengi ni failure class, why serikali isifanye mchakato wa kuchukua best/good students A or B
Mchakato wa kuajiri walimu ni Kama fungulia mbwa, no interview, how competent you are? You know to to derive contents? Achana nalo wewe twende tu
Tatizo ni serikali serikali [emoji115]
Walimu hawajitumi au hawwfundishi kwa moyo, hii inavhangiwa Sana na mishahara kuwa kidogo reffer post za mpwayunga vilage
Idadi ya wanafunzi ni kubwa mno kukiwa na 70% slow leaners amabo wanaenda kuzi-face changamoto hizo
Watoto wengi wa Sasa hivi hawawezi kuwa smart, mazingira yanawakataa