Nawakumbusha tu: Miaka hiyo tuliimba tu kama kujifurahisha wala hatukujua maana yake

Madarasa yameongezeka
Watoto ni wengi
Walimu ni wachache

Walimu wa masomo ya science ndio haha zaidi

Twende Sasa[emoji116]
Miundo mbinu bado ni haba, maabara na nyezo za ufundishaji kwa vitendo
Muwajibikaji namba moja hapa ni serikali

Bado watoto wetu wanasoma historia ya science na sio applied science
Bado muhusika ni serikali kushindwa kuandaa mitaala itakayo endana na Kasi ya dunia

Walimu wachache makazi, Ila mtaani walimu bado wapo wengi tu hawana hajira. Eg Mpwayungu Village
Serikali wakulaumiwa hapa, yeye ndio mtoa hajira[emoji115]

Walimu wengi ni failure class, why serikali isifanye mchakato wa kuchukua best/good students A or B

Mchakato wa kuajiri walimu ni Kama fungulia mbwa, no interview, how competent you are? You know to to derive contents? Achana nalo wewe twende tu
Tatizo ni serikali serikali [emoji115]

Walimu hawajitumi au hawwfundishi kwa moyo, hii inavhangiwa Sana na mishahara kuwa kidogo reffer post za mpwayunga vilage

Idadi ya wanafunzi ni kubwa mno kukiwa na 70% slow leaners amabo wanaenda kuzi-face changamoto hizo

Watoto wengi wa Sasa hivi hawawezi kuwa smart, mazingira yanawakataa
 
Hapo Sasa tunaenda sawa,hapo ndio utaelewa umuhimu wa private school ambayo mtoa mada anazikandia.....Kuna mwanafunzi anasoma science hajawahi itia machoni test tube zaidi ya kuiona kwenye picha
 
Bado hatujasema 🤓🤓🤓🤓🤓🤓
 
Hapo Sasa tunaenda sawa,hapo ndio utaelewa umuhimu wa private school ambayo mtoa mada anazikandia.....Kuna mwanafunzi anasoma science hajawahi itia machoni test tube zaidi ya kuiona kwenye picha
wengine hatukuwahi kufanya majaribio ya practical hata moja za physics na chemistry lakini Mungu ni mwema hatukupata F kwa rehema zake . Shule zetu za kata ni majengo tu
 
wengine hatukuwahi kufanya majaribio ya practical hata moja za physics na chemistry lakini Mungu ni mwema hatukupata F kwa rehema zake . Shule zetu za kata ni majengo tu
Bora mnao toa ushuhuda wa ukweli ,kuliko kusema shule ni nzuri wakati hazina vifaa wala walimu
 
Sikiri mi maskini, uvivu wangu nyumbani,
Nikiwa hapa njiani nakufa hapa Kwa Nini?
Sadiki Sasa ashiba, chakula kingi Kwa baba
Nikiwa hapa njiani nakufa hapa Kwa Nini?
Dah, umenikumbusha hiki kitabu nilisoma sijui darasa la ngapi primary.
 
Ujinga mtupu, wenzetu wanawaza technology ww unaleta mitaala iliyo pitwa na wakati.
 
Umenikumbusha mbali sana!! Tuliimba sana zamani,sasa ndio tunaanza kuelewa.
 
🤣🤣🤣🤣Kazururaaa wewe rupia zenyewe asipate akambulia kuvimba mapaja,,, akaona Bora angebaki zake shambani alime angepata mali
Majuto majukumu
 
Hoja kubwa ya mzee baba nadhani ilikuwa ni juhudi, maarifa na ubunifu katika kazi bila kusahau ushirikiano.
Mambo hayo matatu ama manne, yakizingatiwa pahala pa kazi (shamba) - ushindi (kutoboa) ni hakika.
 
Mimi mbona nimesoma version ya sadiki na chitemo?
Hii ya labda ya miaka 90, waliohitimu msingi 86 kurudi nyuma tunaikumbuka hii ya Sadiki na Sikili. Kama sikosei ni kiswahili darasa la tatu.
 
Darasa La 3 mwaka 1991 nimesoma hicho Sadiki na Sikiri.
Nadhani Chitemo ni miaka y'a 2000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…