Nawakumbusha tu wana Simba SC kuwa Mshambuliaji tunayemtegemea katika Mechi yetu ya Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga SC hatocheza kabisa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
  • Jonathan Sowah ataikosa mechi ya ngao ya jamii dhidi ya Yanga kutokana na kadi nyekundu aliyopewa kwenye mechi ya fainali ya FA akiwa na Singida.
  • Ukipewa kadi nyekundu kwenye mechi ya FA unatakiwa kutumikia adhabu kwenye mechi za ligi kuu,FA na Ngao ya jamii.
  • Hivyo sowah hatakuwa sehemu ya kikosi cha lunyasi kitakachocheza dhidi ya yanga kwenye ngao ya jamii umeipokeaje taarifa tujadili kimichezo zaidi.
Kidogo huyu ndiyo nilikuwa naona labda angeweza kuwasumbua Mabeki wa Yanga SC, ila kutokana na kuwa hatocheza hiyo Mechi huku Simba SC bado tukiwa na Washambuliaji butu na Viungo wengi na wasio na faida katika Timu kwa sasa nawashauri mapema wana Simba SC tuanze kuandaa Machozi kwa Kichapo na Kulaumiana kwetu kwingi.
 
Mpwa utatulaza na viatu!!
 
Pamoja na ayo ata angekuwepo asingefanya lolote la maana kwakuwa kakutana na yanga mechi 4 kafunga goli 1 la papatupapatu!
 
Kichapo kipo pale pale
20250806_073516.jpg
 
  • Jonathan Sowah ataikosa mechi ya ngao ya jamii dhidi ya Yanga kutokana na kadi nyekundu aliyopewa kwenye mechi ya fainali ya FA akiwa na Singida.
  • Ukipewa kadi nyekundu kwenye mechi ya FA unatakiwa kutumikia adhabu kwenye mechi za ligi kuu,FA na Ngao ya jamii.
  • Hivyo sowah hatakuwa sehemu ya kikosi cha lunyasi kitakachocheza dhidi ya yanga kwenye ngao ya jamii umeipokeaje taarifa tujadili kimichezo zaidi.
Kidogo huyu ndiyo nilikuwa naona labda angeweza kuwasumbua Mabeki wa Yanga SC, ila kutokana na kuwa hatocheza hiyo Mechi huku Simba SC bado tukiwa na Washambuliaji butu na Viungo wengi na wasio na faida katika Timu kwa sasa nawashauri mapema wana Simba SC tuanze kuandaa Machozi kwa Kichapo na Kulaumiana kwetu kwingi.
Je kanuni hazijabadilishwa kwa maana tumeambiwa bodi ya ligi hawatakuwa na rungu la kanuni
 
  • Jonathan Sowah ataikosa mechi ya ngao ya jamii dhidi ya Yanga kutokana na kadi nyekundu aliyopewa kwenye mechi ya fainali ya FA akiwa na Singida.
  • Ukipewa kadi nyekundu kwenye mechi ya FA unatakiwa kutumikia adhabu kwenye mechi za ligi kuu,FA na Ngao ya jamii.
  • Hivyo sowah hatakuwa sehemu ya kikosi cha lunyasi kitakachocheza dhidi ya yanga kwenye ngao ya jamii umeipokeaje taarifa tujadili kimichezo zaidi.
Kidogo huyu ndiyo nilikuwa naona labda angeweza kuwasumbua Mabeki wa Yanga SC, ila kutokana na kuwa hatocheza hiyo Mechi huku Simba SC bado tukiwa na Washambuliaji butu na Viungo wengi na wasio na faida katika Timu kwa sasa nawashauri mapema wana Simba SC tuanze kuandaa Machozi kwa Kichapo na Kulaumiana kwetu kwingi.
Mlijisahau sana mpaka mkaanza kunenepa. Sasa muda ule wa GSM anadhamini timu nyingi umewadia.

CC Bantu Lady, Kalpana, Mshana Jr et el
 
  • Jonathan Sowah ataikosa mechi ya ngao ya jamii dhidi ya Yanga kutokana na kadi nyekundu aliyopewa kwenye mechi ya fainali ya FA akiwa na Singida.
  • Ukipewa kadi nyekundu kwenye mechi ya FA unatakiwa kutumikia adhabu kwenye mechi za ligi kuu,FA na Ngao ya jamii.
  • Hivyo sowah hatakuwa sehemu ya kikosi cha lunyasi kitakachocheza dhidi ya yanga kwenye ngao ya jamii umeipokeaje taarifa tujadili kimichezo zaidi.
Kidogo huyu ndiyo nilikuwa naona labda angeweza kuwasumbua Mabeki wa Yanga SC, ila kutokana na kuwa hatocheza hiyo Mechi huku Simba SC bado tukiwa na Washambuliaji butu na Viungo wengi na wasio na faida katika Timu kwa sasa nawashauri mapema wana Simba SC tuanze kuandaa Machozi kwa Kichapo na Kulaumiana kwetu kwingi.
🚮🚮
 
Inatakiwa mshukuru huyo Sowah kutokuwepo, mngejiuliza kwanza licha ya kuwa mchezaji mzuri kwa nini Eng Hersi hakumsajili?

Huyo ni aina ya mchezaji ambaye muda wowote anakwenda kuigharimu timu na hana nidhamu.

Nadhani Simba hawajajifunza kwa Morisson.
 
Back
Top Bottom