GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Hasira za nini Stress na Maisha magumu uliyonayo sasa au?Nenda kacheze wewe
Mpwa utatulaza na viatu!!Kidogo huyu ndiyo nilikuwa naona labda angeweza kuwasumbua Mabeki wa Yanga SC, ila kutokana na kuwa hatocheza hiyo Mechi huku Simba SC bado tukiwa na Washambuliaji butu na Viungo wengi na wasio na faida katika Timu kwa sasa nawashauri mapema wana Simba SC tuanze kuandaa Machozi kwa Kichapo na Kulaumiana kwetu kwingi.
- Jonathan Sowah ataikosa mechi ya ngao ya jamii dhidi ya Yanga kutokana na kadi nyekundu aliyopewa kwenye mechi ya fainali ya FA akiwa na Singida.
- Ukipewa kadi nyekundu kwenye mechi ya FA unatakiwa kutumikia adhabu kwenye mechi za ligi kuu,FA na Ngao ya jamii.
- Hivyo sowah hatakuwa sehemu ya kikosi cha lunyasi kitakachocheza dhidi ya yanga kwenye ngao ya jamii umeipokeaje taarifa tujadili kimichezo zaidi.
Pamoja na ayo ata angekuwepo asingefanya lolote la maana kwakuwa kakutana na yanga mechi 4 kafunga goli 1 la papatupapatu!Kidogo huyu ndiyo nilikuwa naona labda angeweza kuwasumbua Mabeki wa Yanga SC, ila kutokana na kuwa hatocheza hiyo Mechi huku Simba SC bado tukiwa na Washambuliaji butu na Viungo wengi na wasio na faida katika Timu kwa sasa nawashauri mapema wana Simba SC tuanze kuandaa Machozi kwa Kichapo na Kulaumiana kwetu kwingi.
- Jonathan Sowah ataikosa mechi ya ngao ya jamii dhidi ya Yanga kutokana na kadi nyekundu aliyopewa kwenye mechi ya fainali ya FA akiwa na Singida.
- Ukipewa kadi nyekundu kwenye mechi ya FA unatakiwa kutumikia adhabu kwenye mechi za ligi kuu,FA na Ngao ya jamii.
- Hivyo sowah hatakuwa sehemu ya kikosi cha lunyasi kitakachocheza dhidi ya yanga kwenye ngao ya jamii umeipokeaje taarifa tujadili kimichezo zaidi.
Je kanuni hazijabadilishwa kwa maana tumeambiwa bodi ya ligi hawatakuwa na rungu la kanuniKidogo huyu ndiyo nilikuwa naona labda angeweza kuwasumbua Mabeki wa Yanga SC, ila kutokana na kuwa hatocheza hiyo Mechi huku Simba SC bado tukiwa na Washambuliaji butu na Viungo wengi na wasio na faida katika Timu kwa sasa nawashauri mapema wana Simba SC tuanze kuandaa Machozi kwa Kichapo na Kulaumiana kwetu kwingi.
- Jonathan Sowah ataikosa mechi ya ngao ya jamii dhidi ya Yanga kutokana na kadi nyekundu aliyopewa kwenye mechi ya fainali ya FA akiwa na Singida.
- Ukipewa kadi nyekundu kwenye mechi ya FA unatakiwa kutumikia adhabu kwenye mechi za ligi kuu,FA na Ngao ya jamii.
- Hivyo sowah hatakuwa sehemu ya kikosi cha lunyasi kitakachocheza dhidi ya yanga kwenye ngao ya jamii umeipokeaje taarifa tujadili kimichezo zaidi.
Anasumbuliwa na kashindwa kumng'oa Mangungu.Hasira za nini Stress na Maisha magumu uliyonayo sasa au?
Mlijisahau sana mpaka mkaanza kunenepa. Sasa muda ule wa GSM anadhamini timu nyingi umewadia.Kidogo huyu ndiyo nilikuwa naona labda angeweza kuwasumbua Mabeki wa Yanga SC, ila kutokana na kuwa hatocheza hiyo Mechi huku Simba SC bado tukiwa na Washambuliaji butu na Viungo wengi na wasio na faida katika Timu kwa sasa nawashauri mapema wana Simba SC tuanze kuandaa Machozi kwa Kichapo na Kulaumiana kwetu kwingi.
- Jonathan Sowah ataikosa mechi ya ngao ya jamii dhidi ya Yanga kutokana na kadi nyekundu aliyopewa kwenye mechi ya fainali ya FA akiwa na Singida.
- Ukipewa kadi nyekundu kwenye mechi ya FA unatakiwa kutumikia adhabu kwenye mechi za ligi kuu,FA na Ngao ya jamii.
- Hivyo sowah hatakuwa sehemu ya kikosi cha lunyasi kitakachocheza dhidi ya yanga kwenye ngao ya jamii umeipokeaje taarifa tujadili kimichezo zaidi.
Tuupe muda wakatiMlijisahau sana mpaka mkaanza kunenepa. Sasa muda ule wa GSM anadhamini timu nyingi umewadia.
CC Bantu Lady, Kalpana, Mshana Jr et el
🚮🚮Kidogo huyu ndiyo nilikuwa naona labda angeweza kuwasumbua Mabeki wa Yanga SC, ila kutokana na kuwa hatocheza hiyo Mechi huku Simba SC bado tukiwa na Washambuliaji butu na Viungo wengi na wasio na faida katika Timu kwa sasa nawashauri mapema wana Simba SC tuanze kuandaa Machozi kwa Kichapo na Kulaumiana kwetu kwingi.
- Jonathan Sowah ataikosa mechi ya ngao ya jamii dhidi ya Yanga kutokana na kadi nyekundu aliyopewa kwenye mechi ya fainali ya FA akiwa na Singida.
- Ukipewa kadi nyekundu kwenye mechi ya FA unatakiwa kutumikia adhabu kwenye mechi za ligi kuu,FA na Ngao ya jamii.
- Hivyo sowah hatakuwa sehemu ya kikosi cha lunyasi kitakachocheza dhidi ya yanga kwenye ngao ya jamii umeipokeaje taarifa tujadili kimichezo zaidi.
Huyu naye ni Mnyama?.Kichapo kipo pale paleView attachment 3447015
Msitutishe wewe na huyo mtoa mada wako....Mlijisahau sana mpaka mkaanza kunenepa. Sasa muda ule wa GSM anadhamini timu nyingi umewadia.
CC Bantu Lady, Kalpana, Mshana Jr et el
Inatakiwa mshukuru huyo Sowah kutokuwepo, mngejiuliza kwanza licha ya kuwa mchezaji mzuri kwa nini Eng Hersi hakumsajili?Kidogo huyu ndiyo nilikuwa naona labda angeweza kuwasumbua Mabeki wa Yanga SC, ila kutokana na kuwa hatocheza hiyo Mechi huku Simba SC bado tukiwa na Washambuliaji butu na Viungo wengi na wasio na faida katika Timu kwa sasa nawashauri mapema wana Simba SC tuanze kuandaa Machozi kwa Kichapo na Kulaumiana kwetu kwingi.
- Jonathan Sowah ataikosa mechi ya ngao ya jamii dhidi ya Yanga kutokana na kadi nyekundu aliyopewa kwenye mechi ya fainali ya FA akiwa na Singida.
- Ukipewa kadi nyekundu kwenye mechi ya FA unatakiwa kutumikia adhabu kwenye mechi za ligi kuu,FA na Ngao ya jamii.
- Hivyo sowah hatakuwa sehemu ya kikosi cha lunyasi kitakachocheza dhidi ya yanga kwenye ngao ya jamii umeipokeaje taarifa tujadili kimichezo zaidi.
Hata Mama yako Mzazi nae pia angeungana nasi katika Kuukalia huo Mguu wa Mtoto.Hata wangekua sowah wawili wote wacheze bado mngeukalia mguu wa mtoto
Itakua threesome na mama yako piaHata Mama yako Mzazi nae pia angeungana nasi katika Kuukalia huo Mguu wa Mtoto.