Nawakumbusha tu Yanga hii haina namba 9 asilia

KAGAMEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
4,457
Reaction score
5,454
Sina muda wa salamu.Kila mtu apambane na mzigo alionao.Kama una mzigo kichwani wa kilo tano za mawe pambana nazo.

Hii yanga mnayoiona bado sana haina namba 9 so dirisha dogo wanaingia sokoni kuchunua namba 9 anayejua.Makolo jipangeni second leg NBC PREMIER LEAGUE 🤣🤣

Mgeni rasmi na kocha wamekutwa chooni wanacheka.🤣🤣🤣🤣
 
Sina muda wa salamu.Kila mtu apambane na mzigo alionao.Kama una mzigo kichwani wa kilo tano za mawe pambana nazo.

Hii yanga mnayoiona bado sana haina namba 9 so dirisha dogo wanaingia sokoni kuchunua namba 9 anayejua.Makolo jipangeni second leg NBC PREMIER LEAGUE [emoji1787][emoji1787]

Yupo Mzize na Musonda
 
Point to note....Timu Mbovu zilizofungwa na Yanga Msimu huu 2023/2024 mpaka sasa;

1. KMC - Goli 5
2. JKT Tanzania - Goli 5
3. AZAM - Goli 3
4. SIMBA - Goli 5
🤣🤣🤣
 
Sina muda wa salamu.Kila mtu apambane na mzigo alionao.Kama una mzigo kichwani wa kilo tano za mawe pambana nazo.

Hii yanga mnayoiona bado sana haina namba 9 so dirisha dogo wanaingia sokoni kuchunua namba 9 anayejua.Makolo jipangeni second leg NBC PREMIER LEAGUE [emoji1787][emoji1787]

Mgeni rasmi na kocha wamekutwa chooni wanacheka.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na huo ndo mtego wenyewe, wapinzani hawajui wakabe nani[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom