Sina muda wa salamu.Kila mtu apambane na mzigo alionao.Kama una mzigo kichwani wa kilo tano za mawe pambana nazo.
Hii yanga mnayoiona bado sana haina namba 9 so dirisha dogo wanaingia sokoni kuchunua namba 9 anayejua.Makolo jipangeni second leg NBC PREMIER LEAGUE [emoji1787][emoji1787]
Na huo ndo mtego wenyewe, wapinzani hawajui wakabe nani[emoji23][emoji23]Sina muda wa salamu.Kila mtu apambane na mzigo alionao.Kama una mzigo kichwani wa kilo tano za mawe pambana nazo.
Hii yanga mnayoiona bado sana haina namba 9 so dirisha dogo wanaingia sokoni kuchunua namba 9 anayejua.Makolo jipangeni second leg NBC PREMIER LEAGUE [emoji1787][emoji1787]
Mgeni rasmi na kocha wamekutwa chooni wanacheka.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
AahaaaaPoint to note....Timu Mbovu zilizofungwa na Yanga Msimu huu 2023/2024 mpaka sasa;
1. KMC - Goli 5
2. JKT Tanzania - Goli 5
3. AZAM - Goli 3
4. SIMBA - Goli 5