Hao jei dabi yuu nao hamnazo kweli,wanaacha kudili na mambo yanayohusu mustakabali wa nchi yetu ,kama hili la DP world , na kuna mmarekani huko kapewa mamilion ya hekta sijui mwarabu ngorongoro. ,Mpaka Natamani ningekuwa mkuu wa majeshi . hongereni jeshi la niger kweli nyie ni jeshi la wananchi wa niger