Nawakumbusha Wafuasi wa Tundu Lissu 2015 Mbowe alimleta Lowassa na 2020 akamleta Nyalandu, hatujui 2025 atamleta nani kutoka CCM!

CCM Ina mgombea mpya 2025, usilisahau Hilo, Bidden akupe somo.
Hakuna mwenye Ubavu wa kumuengua the sitting Prezidaa !
Fomu imechapishwa moja tu πŸ˜…πŸ™ŒπŸ‘

Akina February tupilia kule kwa mbali !πŸ‘
 
Chadema ni wasikilizia upepo unavuma kutoka wapi kuelekea wapi! Usije ukashangaa Mgombea Urais wao akawa Mzee Magoma!!!πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
CCM washachoka, sidhami kuna mtu wa kwenda na kasi ya CDM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…