Nawakumbusha Wafuasi wa Tundu Lissu 2015 Mbowe alimleta Lowassa na 2020 akamleta Nyalandu, hatujui 2025 atamleta nani kutoka CCM!

Nawakumbusha Wafuasi wa Tundu Lissu 2015 Mbowe alimleta Lowassa na 2020 akamleta Nyalandu, hatujui 2025 atamleta nani kutoka CCM!

CCM Ina mgombea mpya 2025, usilisahau Hilo, Bidden akupe somo.
Hakuna mwenye Ubavu wa kumuengua the sitting Prezidaa !
Fomu imechapishwa moja tu ๐Ÿ˜…๐Ÿ™Œ๐Ÿ‘

Akina February tupilia kule kwa mbali !๐Ÿ‘
 
Binafsi sioni sababu ya Chadema kusitasita kumtangaza Mgombea Urais wa JMT 2025 kwa ticket yao

CCM tayari inajulikana atasimama Mpendwa Wetu Mh Rais Samia

ACT Wazalendo wameshatangaza atagombea Zitto Kabwe

Chadema hawajatangaza ila Tundu Antipas Lisu amejitangaza yeye mwenyewe

Ni hilo tu

Ahsanteni ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜„
Chadema ni wasikilizia upepo unavuma kutoka wapi kuelekea wapi! Usije ukashangaa Mgombea Urais wao akawa Mzee Magoma!!!๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
CCM washachoka, sidhami kuna mtu wa kwenda na kasi ya CDM.
 
Back
Top Bottom