Nawakumbusha Wana Yanga na wale wote msioipenda Simba

SINA JAMBO

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
338
Reaction score
270
Pale mnaposema Simba this time anaingia kwenye plays off hivo anaweza kutoka kwenye quorter final msijiweke kwenye asilimia 100 kwani hata kabla ya makundi tulicheza plays off na mbabane bila kuisahau team ngumu kabisa Nkana Fc

Nawakumbusha hii hatua tuliofikia kila mwana simba anaifurahia na inatosha kabisa kujivunia hivo hata tukiishia hapa ni sawa jambo tuna uchu wa kuvuka na kwa jinsi team yetu ilivyo hata nyie mnajua tunaweza kuvuka

Nawakumbusha simba ina confidence hasa baada ya kupata matokeo kwa team ngumu Africa...Al ahly...Saoura...As Vita

Pia kabla ya mechi yetu simba ni team pekee group D iliyochukua point 3 kwa saoura hata VITA CLUB hio kazi iliwashinda kule Congo

Nawakumbusha badae droo ya robo fainali inapangwa na hakuna team tunaiogopa kati za mazembe...esperance na hao wydad ila tunawaheshimu...na hii hata mngekua nyinyi vyura msingepaswa kuogopa hii hatua kwan bila shaka mngekua mmevuka kila aina ya majungu na fitina kama mlizotufanyia tangu mechi na mbabane

Nawakumbusha tarehe 24 ni mechi ya Taifa Stars na Uganda sio Simba Fc msije mkajisahau mkashangilia Uganda

Nawakumbusha mashabiki na wanachama wenu kuchangia team yenu kwan kwa msaada tuliowapatia hata mkiwa wa pili mtacheza champions league mwakani hivo kama mtanzania nawaombea zoezi lenu lifanikiwe ili msilitie aibu taifa hio mwakani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa hata Simba ikitoka quarter final sina hofu ksb tulikotoka ndo palikuwa penye hofu kubwa, na kingine hata hizo timu 3 tunazotarajiwa kupangwa na mojawapo leo hata wao wana hofu hivyo kocha,wachezaji,benchi la ufundi ni kuweka approach nzuri tu naimani Mungu atatuzidishia malengo... Utabiri wangu Simba atapangiwa WYDAD CASABLANCA au TP mazembe ndo ndoto yangu asb ya leo

hawataamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watani zangu simba nawaombea mfanye vibaya kwenye hatua inayofuata. Maana kwa hali ilivo hivi sasa huku mtaani sisi watanizenu hatupumui kwa raha . Tena nawaomba sana watani zangu hiyo hatua inayofuata ikiwezekana mvurunde kwa makusudi maana mkifanya vizuri mtakosa mtani wa kucheka naye. Chonde chonde simba msifanye vzr hatua inayofuata

umenifurahisha mkuu ila nkukumbushe mmetutawala miaka mitatu sio nyinyi tu hata Azam Fc na hata jina la mikia fc lilikuja kwenye hicho kipindi.....subirin tuwatafutie na jina zuri ili mue hamna amani kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwezo na pumzi yenu ya kuunga unga hamuwezi kupambana na vigogo wenye kombe lao Esperance, Mazembe na Wydad
 
Yanga wanacho jua wao ni majungu tu,na uchawi

huwanawaza kama simba angechukua ubingwa kama yanga walivyo chukua mfurulizo nafkiri ligi yetu ingekuwa na thamani .
 
Back
Top Bottom