Leo unaona ni uhuni ila ni utaratibu wa CAF wa tokea zamani hizoKwani hata huu utaratibu wa kuweka 2nds leg ktk Final ni uhuni tyuuh
Basi sawaaahLeo unaona ni uhuni ila ni utaratibu wa CAF wa tokea zamani hizo
Maana yake tubaki na ndege yetu?Hakuna mtu mwenye akili timamu akaamini yanga anaweza kuja na kombe.
Mechi ya Final CAF kwanini hawakuja na kombe Kwa Mkapa hata kwa Dakika????
CAF WANAFELI SANA
Wewe unatekenywa?Unajitekenya
Basi nenda CAS kalalamike maana umeumia sanaIle ni Final ilitakiwa Kombe liwepoo palee ni utaratibu wake.
Mpka Yanga imefika hapo ilikua inacheza na wapinzani wafupi tu uliwaona Monastiri? Real Bamako ni wafupi?Mpira ni mchezo wa wazi sana wale jamaa wanavyokua na kasi wakiwa nyumbani na maumbo yao ambayo wachezaji 8 wana foot 6+huku yanga wawili ndio wana foot 6+ unaona kabisa kuna kazi kule Algeria,labda yangabwakabadilike sana aina yao ya uchezaji kule algeria ila mechi kama imeisha kwa mkapa. lakini kwenye mpira lolote linaweza kutokea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie kwangu full burudaaaniii.Basi nenda CAS kalalamike maana umeumia sana
basi tulia na burudani yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie kwangu full burudaaaniii.
Wala sijali roroseeeeeee
Timu maandazi mnateseka! Hata kwa Rivers United mlisema hivi hivi mkaka na kwa Marumo Gallants oooh hawajawahi kufungwa nyumbani, sisi wananchi tukawapasua! Mwarabu anaenda kupasuka nyumbani!Wakuu,
Umofia kwenu. Binadamu tumeumbwa kusahau. Nimeamua niwakumbushe utopolo aina ya mpinzani waliyenaye akiwa nyumbani. Kwenye mechi za makundi. Mechi ya Kwanza alicheza na Saint Etoil De Lupopo akashinda goli 3-0.
Mechi ya pili nyumbani alicheza Malumo Gallants, akashinda goli 2-0. Mechi ya tatu alicheza na Al Akhdar akashinda goli 4-1.
Kwenye Robo fainali, alicheza na As Far Rabat akashinda 2-0. Nusu fainali akacheza na Asec Mimosas akashinda 2-0. Hizo ni mechi 5 alizocheza nyumbani ameshinda zote, na ameruhusu goli moja tu huku yeye akifunga magoli 13.
Kumbuka yeye kuanzia ngazi ya makundi alikuwa hajashinda mechi yoyote ugenini, mechi pekee aliyoshinda ugenini ni hii aliyomfunga Utopolo. Naamini siwezi kuwa adui kwa kusema ukweli.
Nawee baki na maumivu yakooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]basi tulia na burudani yako
Mbona husemi kuhusu al hilal omduman!? Ambao ndiyo walikutoa kwenye mashindano ya wenye akili? Si ulikojolewa kule goli moja au umesahau!? Subiri na tar.03 utakiona cha mtema kuni.Timu maandazi mnateseka! Hata kwa Rivers United mlisema hivi hivi mkaka na kwa Marumo Gallants oooh hawajawahi kufungwa nyumbani, sisi wananchi tukawapasua! Mwarabu anaenda kupasuka nyumbani!
Sina sababu ya kuumia timu ipo fainali mbili, tuna kombe la ligi naumia niniNawee baki na maumivu yakooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe mbona hauongelei Club African?Mbona husemi kuhusu al hilal omduman!? Ambao ndiyo walikutoa kwenye mashindano ya wenye akili? Si ulikojolewa kule goli moja au umesahau!? Subiri na tar.03 utakiona cha mtema kuni.
Kwani mpaka sasa kombe kakabidhiwa timu ipi?Kwahiyo inabaki kuwa Simba ndio Timu pekee iliyocheza Fainali ya CAF na kombe tukaliona.
Kama kombe Halikuja basi yanga hajacheza Fainali.
HAKUNA FAINALI BILA KOMBE.
shubamiti.
Huenda na yeye safari hii akafungwa nyumbani na Uto...Kumbuka yeye kuanzia ngazi ya makundi alikuwa hajashinda mechi yoyote ugenini, mechi pekee aliyoshinda ugenini ni hii aliyomfunga Utopolo. Naamini siwezi kuwa adui kwa kusema ukweli.
Utopolo ni sikio la kufaWakuu,