Nawakumbusha Yanga kuhusu wapinzani wao USM Alger na Mechi zao za nyumbani

Hakuna mtu mwenye akili timamu akaamini yanga anaweza kuja na kombe.

Mechi ya Final CAF kwanini hawakuja na kombe Kwa Mkapa hata kwa Dakika????

CAF WANAFELI SANA
Maana yake tubaki na ndege yetu?
 
Mpira ni mchezo wa wazi sana wale jamaa wanavyokua na kasi wakiwa nyumbani na maumbo yao ambayo wachezaji 8 wana foot 6+huku yanga wawili ndio wana foot 6+ unaona kabisa kuna kazi kule Algeria,labda yangabwakabadilike sana aina yao ya uchezaji kule algeria ila mechi kama imeisha kwa mkapa. lakini kwenye mpira lolote linaweza kutokea
Mpka Yanga imefika hapo ilikua inacheza na wapinzani wafupi tu uliwaona Monastiri? Real Bamako ni wafupi?
 
Kwahiyo inabaki kuwa Simba ndio Timu pekee iliyocheza Fainali ya CAF na kombe tukaliona.

Kama kombe Halikuja basi yanga hajacheza Fainali.

HAKUNA FAINALI BILA KOMBE.
shubamiti.
 
Wakuu,

Umofia kwenu. Binadamu tumeumbwa kusahau. Nimeamua niwakumbushe utopolo aina ya mpinzani waliyenaye akiwa nyumbani. Kwenye mechi za makundi. Mechi ya Kwanza alicheza na Saint Etoil De Lupopo akashinda goli 3-0.

Mechi ya pili nyumbani alicheza Malumo Gallants, akashinda goli 2-0. Mechi ya tatu alicheza na Al Akhdar akashinda goli 4-1.

Kwenye Robo fainali, alicheza na As Far Rabat akashinda 2-0. Nusu fainali akacheza na Asec Mimosas akashinda 2-0. Hizo ni mechi 5 alizocheza nyumbani ameshinda zote, na ameruhusu goli moja tu huku yeye akifunga magoli 13.

Kumbuka yeye kuanzia ngazi ya makundi alikuwa hajashinda mechi yoyote ugenini, mechi pekee aliyoshinda ugenini ni hii aliyomfunga Utopolo. Naamini siwezi kuwa adui kwa kusema ukweli.
Timu maandazi mnateseka! Hata kwa Rivers United mlisema hivi hivi mkaka na kwa Marumo Gallants oooh hawajawahi kufungwa nyumbani, sisi wananchi tukawapasua! Mwarabu anaenda kupasuka nyumbani!
 
Mbona husemi kuhusu al hilal omduman!? Ambao ndiyo walikutoa kwenye mashindano ya wenye akili? Si ulikojolewa kule goli moja au umesahau!? Subiri na tar.03 utakiona cha mtema kuni.
 
Kwahiyo inabaki kuwa Simba ndio Timu pekee iliyocheza Fainali ya CAF na kombe tukaliona.

Kama kombe Halikuja basi yanga hajacheza Fainali.

HAKUNA FAINALI BILA KOMBE.
shubamiti.
Kwani mpaka sasa kombe kakabidhiwa timu ipi?
 
Tukumbushe waume zako na ushindi wa mechi za YANGA ugenini ktk michuano ya kimataifa...
YANGA tunaenda kuwatoa marinda waarabu kama tunavyoongoza kuwatoa marinda Makolo hapa Tz
 
Kumbuka yeye kuanzia ngazi ya makundi alikuwa hajashinda mechi yoyote ugenini, mechi pekee aliyoshinda ugenini ni hii aliyomfunga Utopolo. Naamini siwezi kuwa adui kwa kusema ukweli.
Huenda na yeye safari hii akafungwa nyumbani na Uto...
 
Wakuu,

Umofia kwenu. Binadamu tumeumbwa kusahau. Nimeamua niwakumbushe utopolo aina ya mpinzani waliyenaye akiwa nyumbani. Kwenye mechi za makundi. Mechi ya Kwanza alicheza na Saint Etoil De Lupopo akashinda goli 3-0.

Mechi ya pili nyumbani alicheza Malumo Gallants, akashinda goli 2-0. Mechi ya tatu alicheza na Al Akhdar akashinda goli 4-1.

Kwenye Robo fainali, alicheza na As Far Rabat akashinda 2-0. Nusu fainali akacheza na Asec Mimosas akashinda 2-0. Hizo ni mechi 5 alizocheza nyumbani ameshinda zote, na ameruhusu goli moja tu huku yeye akifunga magoli 13.

Kumbuka yeye kuanzia ngazi ya makundi alikuwa hajashinda mechi yoyote ugenini, mechi pekee aliyoshinda ugenini ni hii aliyomfunga Utopolo. Naamini siwezi kuwa adui kwa kusema ukweli.
Utopolo ni sikio la kufa
 
Back
Top Bottom