Kunguru wa Unguja
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 1,762
- 1,823
UnajitekenyaKwamba una tukumbusha sisi hatujui? basi nakumbusha pia Yanga ana uwezo wa kushinda away
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UnajitekenyaKwamba una tukumbusha sisi hatujui? basi nakumbusha pia Yanga ana uwezo wa kushinda away
Mlikosa sanaa ninyi uto ila binafs namsifu mayele kwa mgoli ule maana kulikuwa na kijiji katikat yake ko alipoona upenyo tu akaunga moja kwa moja lakn ukija kuangalia magoli mliyofungwa wapinzani walikuwa free sanaa yaan mabeki walikuwa wanakabia macho tu na pia angalia juhudi za kipa yaani kapambania sanaa la sivyo mngekunywa nyingi sanaa...Tukukumbushe na wewe
Yanga tangu ameanza mpaka hapo alipofikia ni mechi Moja tu ndio amefungwa nyumbani.
Kwa hiyo hamna Cha ajabu hapo ,hata huyo USM anaweza kufungwa kwake
SAWA KOLO!TUNASHUKURU KWA USHAURI WA KIKOLOMlikosa sanaa ninyi uto ila binafs namsifu mayele kwa mgoli ule maana kulikuwa na kijiji katikat yake ko alipoona upenyo tu akaunga moja kwa moja lakn ukija kuangalia magoli mliyofungwa wapinzani walikuwa free sanaa yaan mabeki walikuwa wanakabia macho tu na pia angalia juhudi za kipa yaani kapambania sanaa la sivyo mngekunywa nyingi sanaa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtakandwaaa hadi mpoteaneeee uwanjaniiiiii. WoiiiiiiiiNa hii mechi na Yanga ndio sasa atafungwa nyumbani.
Ile ni Final ilitakiwa Kombe liwepoo palee ni utaratibu wake.Wewe ndio huna akili kombe liletwe kwenye first leg? uliona wapi hio kitu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kazi ya rekodi ni kuvunjwa, USM Alger wamevunja rekodi ya Yanga kwa Mkapa sasa ni zamu ya Yanga kuvunja rekodi kwao na kubeba kombe.
Mbebee nn?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Napenda wanavobeza ili tukibeba wasisingizie loser au timu dhaifu
Sawaa uto pro max nakusihi andaa machozi na kitambaa cha kujifutia hy tarehe 3 hakika mtalowa na kuloweshwaaa... NUTSAWA KOLO!TUNASHUKURU KWA USHAURI WA KIKOLO
Tokea lini huo utaratibu wa kuweka kombe kwenye first leg?Ile ni Final ilitakiwa Kombe liwepoo palee ni utaratibu wake.
Sasa hapo inategemea huko away alikuwa anashinda kwa kucheza na nani. Kama ni Ruvu Shooting au Maji maji za huko angeachaje kushinda?Tukukumbushe na wewe
Yanga tangu ameanza mpaka hapo alipofikia ni mechi Moja tu ndio amefungwa nyumbani.
Kwa hiyo hamna Cha ajabu hapo ,hata huyo USM anaweza kufungwa kwake
Siyo kwa beki zile futi 3 na robo za Kibwana na Job. Futi 6 za wale jamaa na 3.25 wapi na wapiNa hii mechi na Yanga ndio sasa atafungwa nyumbani.
SAWA KOLO PRO MAXSawaa uto pro max nakusihi andaa machozi na kitambaa cha kujifutia hy tarehe 3 hakika mtalowa na kuloweshwaaa... NUT
Hakuna mtu mwenye akili timamu akaamini yanga anaweza kuja na kombe.
Mechi ya Final CAF kwanini hawakuja na kombe Kwa Mkapa hata kwa Dakika????
CAF WANAFELI SANA
Kwani hata huu utaratibu wa kuweka 2nds leg ktk Final ni uhuni tyuuhTokea lini huo utaratibu wa kuweka kombe kwenye first leg?