Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 16,583
- 42,992
Nayaomba mashirika haya yafungue page zao rasmi humu JamiiForums ili iwe rahisi sisi wananchi tuliotelekezwa na vipeperushi vya CCM tuteme nyongo.
Naamini ujumbe huu utaenda viral kwenye mashirika hayo Mimi nitaanza na CNN ambayo ni rahisi kuifikia.
Naamini ujumbe huu utaenda viral kwenye mashirika hayo Mimi nitaanza na CNN ambayo ni rahisi kuifikia.