Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 16,583 Reaction score 42,992 Jul 13, 2026 #1 Nayaomba mashirika haya yafungue page zao rasmi humu JamiiForums ili iwe rahisi sisi wananchi tuliotelekezwa na vipeperushi vya CCM tuteme nyongo. Naamini ujumbe huu utaenda viral kwenye mashirika hayo Mimi nitaanza na CNN ambayo ni rahisi kuifikia.
Nayaomba mashirika haya yafungue page zao rasmi humu JamiiForums ili iwe rahisi sisi wananchi tuliotelekezwa na vipeperushi vya CCM tuteme nyongo. Naamini ujumbe huu utaenda viral kwenye mashirika hayo Mimi nitaanza na CNN ambayo ni rahisi kuifikia.
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 17,595 Reaction score 39,893 Jul 13, 2026 #2 Bange mbaya sana
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 16,583 Reaction score 42,992 Jul 13, 2026 Thread starter #3 Yani tunataka haya mashirika yasome test halisi ya mioyo yetu.
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 16,583 Reaction score 42,992 Jul 13, 2026 Thread starter #4 adriz de mbusii said: Bange mbaya sana Click to expand... Hakika ila muondoke madarakani kabla hayajawa ya kuwa juu yenu.
adriz de mbusii said: Bange mbaya sana Click to expand... Hakika ila muondoke madarakani kabla hayajawa ya kuwa juu yenu.
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 16,583 Reaction score 42,992 Jul 13, 2026 Thread starter #5 KANU iliondoka Kwa amani ila CCM sijui watakabidhije jahazi......!