Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,058
- 14,382
Hatimae Mjanja M1 nimeacha tabia ya hovyo ya kuwasakama Dada zetu waliozalia nyumbani.
Nachukua muda huu kuwaomba radhi kwa maneno yote ya hovyo niliyowahi kuyasema huko nyuma, najua niliwaumiza na kuwafanya mjione hamna thamani (Naomba radhi).
Najua wengi mtajiuliza ni nini haswa kilichofanya niwaombe radhi hawa dada na Mama zetu. Naomba mjue kuwa sababu uliyonifanya niombe radhi ni hii,
Nimeamua kuchagua upendo na kutohukumu watu, maana wanayoyapitia ni magumu na hawapaswi kuongelewa vibaya.
EWE KIJANA! KAMA UNAUWEZO WA KUOA MWANAMKE MWENYE MTOTO OA.
I'M OUT