Nawaomba radhi wanawake wote niliowahi kuwaumiza (Single Mothers)

Nawaomba radhi wanawake wote niliowahi kuwaumiza (Single Mothers)

Kanuni ni zilezile inapohusu single maza

●Hatulei bao la mwanaume mwingine

●Mwanaume anatakiwa aanzishe familia yake sio ajiunge kwenye familia ya mwanaume mwenzake

●Single maza waolewe na baba za watoto wao

●Single maza ni wa kupiga na kusepa

Ni mwanaume mpumbavu na mjinga tu ndiye anayeweza kumuoa single maza

Learn or perish
 
Hivi vijana wa siku hizi mmerogwa ama?

Hamuoni hata kinyaa kumuoa au kuishi naa mwanamke aliyezalishwa!

Single moms 🤮🤮🤮
 
Kwani walikulalamikia wapi na kwa nani?
Kuna mwingine kaja kureply hapo chini alafu hanaga bahati sasa, kwenye kale kathread ka juzi nako tulimpotezea. 😁😁😁 trending inasakwa kwa nguvu jamani 😎😄😄. Ila nakuamini kamanda wa zamu, najua utawakalisha tu
 
Hatimae Mjanja M1 nimeacha tabia ya hovyo ya kuwasakama Dada zetu waliozalia nyumbani.

Nachukua muda huu kuwaomba radhi kwa maneno yote ya hovyo niliyowahi kuyasema huko nyuma, najua niliwaumiza na kuwafanya mjione hamna thamani (Naomba radhi)...
Mkuu ni dini au roho mtakatifu amekushukia?🤔
 
Kuna mwingine kaja kureply hapo chini alafu hanaga bahati sasa, kwenye kale kathread ka juzi nako tulimpotezea. 😁😁😁 trending inasakwa kwa nguvu jamani 😎😄😄. Ila nakuamini kamanda wa zamu, najua utawakalisha tu
Hiyo konzi moja tu lazima wachutame, yani kuna watu wanadhani maandishi yao yanazingatiwa sana kujipa umuhimu wasiokuwa nao
 
^Zakayo akasimama, akamwambia Bwana, Tazama Bwana, nusu ya mali yangu nawapa maskini, na iwapo nimemdhulumu mtu kitu fulani kwa hila, namrudishia mara nne.^ ~Luka 19:8

A wise gentleman would do the right thing!
 
Back
Top Bottom