Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Kuna mwingine kaja kureply hapo chini alafu hanaga bahati sasa, kwenye kale kathread ka juzi nako tulimpotezea. 😁😁😁 trending inasakwa kwa nguvu jamani 😎😄😄. Ila nakuamini kamanda wa zamu, najua utawakalisha tuKwani walikulalamikia wapi na kwa nani?
Mkuu ni dini au roho mtakatifu amekushukia?🤔Hatimae Mjanja M1 nimeacha tabia ya hovyo ya kuwasakama Dada zetu waliozalia nyumbani.
Nachukua muda huu kuwaomba radhi kwa maneno yote ya hovyo niliyowahi kuyasema huko nyuma, najua niliwaumiza na kuwafanya mjione hamna thamani (Naomba radhi)...
Hiyo konzi moja tu lazima wachutame, yani kuna watu wanadhani maandishi yao yanazingatiwa sana kujipa umuhimu wasiokuwa naoKuna mwingine kaja kureply hapo chini alafu hanaga bahati sasa, kwenye kale kathread ka juzi nako tulimpotezea. 😁😁😁 trending inasakwa kwa nguvu jamani 😎😄😄. Ila nakuamini kamanda wa zamu, najua utawakalisha tu