The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka ushahidiKwahiyo kipindi Cha bwana yule makampuni yalikuwa hayapati hasara?
Mungu alijua umekosea akafuta kwa uvutio wa israiliMwaka 2013 nilikuwa namkubali sana Magufuli kwa namna alivyokuwa anasimama imara kufuata sheria kama waziri. Nilileta huu uzi kumfanyia lobbying kwenye chama Kwa timu hii ya rais na makamu wa rais, CCM tutashinda 2015.
Niliamini huyo ndio atakuwa msaada katika kuijenga Tanzania inayofuata sheria hivyo siku moja nilikutana na Mkapa nikawa namsifia sana huyo waziri. Najua Mkapa alikuwa anampenda Magufuli kama kijana wake lakini watu tulipokuwa tunamtaja mbele yake akapata hamasa sana kumpigania apitishwe.
Bahati mbaya Magufuli alipopata uraisi alibadilika sana na kuacha kufuata sheria na katiba. Hakutaka uhuru wa habari wala changamoto yoyote ya kimawazo. Aligeuka kuwa katili na msema hovyo. Aligeuka akawa muongo sana, aliendesha nchi kwa mikopo lakini anadanganya ni fedha za ndani. Aliua uwekezaji.
Wote tulibaki mdomo wazi kwa aliyoyafanya. Watanzania naomba mnisamehe.
Weee! ndo Pusi kabisa!! hujui kitu!! niombe samahani!!! kuua ni nzuri? Mkurugenzi wa hapa unapoandikia leo (Melo) alimpa wkt mgumu! hivi unavo andika hapa leo alikuwa hataki sijui kwa nini umekuja humJF bila aibu???...yaaniMjinga mmoja wewe, Et aliyofanya zilikua sera za Jakaya
Nyambafu mkubwa .. IFIKE MAHALI MUWE NA KASUMBA YA KUPONGEZA WATU NA MAMBO YAO MAZURI WALOYAFANYA
hhizo sera za JK alishindwa kuzitimiza yeye mwenyewe??..
Kuhamia Dodoma ,au JNHEPP vilianzia Kwa JK ??.
Jipige kifuani Mara tatu ukijiambia "Mimi Pichukodada ni juaa, mpuuzi na mnafiki".
Mungu alituamulia ugomviMwaka 2013 nilikuwa namkubali sana Magufuli kwa namna alivyokuwa anasimama imara kufuata sheria kama waziri. Nilileta huu uzi kumfanyia lobbying kwenye chama Kwa timu hii ya rais na makamu wa rais, CCM tutashinda 2015.
Niliamini huyo ndio atakuwa msaada katika kuijenga Tanzania inayofuata sheria hivyo siku moja nilikutana na Mkapa nikawa namsifia sana huyo waziri. Najua Mkapa alikuwa anampenda Magufuli kama kijana wake lakini watu tulipokuwa tunamtaja mbele yake akapata hamasa sana kumpigania apitishwe.
Bahati mbaya Magufuli alipopata uraisi alibadilika sana na kuacha kufuata sheria na katiba. Hakutaka uhuru wa habari wala changamoto yoyote ya kimawazo. Aligeuka kuwa katili na msema hovyo. Aligeuka akawa muongo sana, aliendesha nchi kwa mikopo lakini anadanganya ni fedha za ndani. Aliua uwekezaji.
Wote tulibaki mdomo wazi kwa aliyoyafanya. Watanzania naomba mnisamehe.
Sikusamehi.Kumbe ninyi ndiyo mlileta balaa nchini?Mwaka 2013 nilikuwa namkubali sana Magufuli kwa namna alivyokuwa anasimama imara kufuata sheria kama waziri. Nilileta huu uzi kumfanyia lobbying kwenye chama Kwa timu hii ya rais na makamu wa rais, CCM tutashinda 2015.
Niliamini huyo ndio atakuwa msaada katika kuijenga Tanzania inayofuata sheria hivyo siku moja nilikutana na Mkapa nikawa namsifia sana huyo waziri. Najua Mkapa alikuwa anampenda Magufuli kama kijana wake lakini watu tulipokuwa tunamtaja mbele yake akapata hamasa sana kumpigania apitishwe.
Bahati mbaya Magufuli alipopata uraisi alibadilika sana na kuacha kufuata sheria na katiba. Hakutaka uhuru wa habari wala changamoto yoyote ya kimawazo. Aligeuka kuwa katili na msema hovyo. Aligeuka akawa muongo sana, aliendesha nchi kwa mikopo lakini anadanganya ni fedha za ndani. Aliua uwekezaji.
Wote tulibaki mdomo wazi kwa aliyoyafanya. Watanzania naomba mnisamehe.
Usimtaje muumba wako bure kwenye mambo ya kijinga na chuki binafsi.
Inategemeana na uelewa. Watu wengi wanafahamu magu alikuwa muongo sana na mkatili.Hayo ongea humu kwenye wanasiasa wachumia tumbo. Kasema haya mtaani kwa raia uone! Ukutane na mtu ametoka kwa Wakala ameliwa tozo alafu umpe hizi hadithi.
Muungwana akiomba radhi asamehewe bana.🤣Sikusamehi.Kumbe ninyi ndiyo mlileta balaa nchini?
Simsamehi hadi miaka miwili ipite.Muungwana akiomba radhi asamehewe bana.🤣
Kwa mjinga kama wewe unaona ya kijinga huna akiliUsimtaje muumba wako bure kwenye mambo ya kijinga na chuki binafsi.
Unasamehe kwa awamu?😂Simsamehi hadi miaka miwili ipite.
Walituletea kizungumkuti.Unasamehe kwa awamu?😂
Tutakufa kweli siku yeyote lakini furaha yetu ni kuona DIKTETA amekufa kabla yetu. Dikteta ambaye January 2016 alisema "atakayebaki Dar es Salaam baada ya miezi 6 ni mwanaume"Hakuna asiejua hilo. Nyinyi mtaishi milele.