Nawaomba radhi Watanzania kwa kumpendekeza hayati Magufuli kwa hayati Mkapa

Mungu alijua umekosea akafuta kwa uvutio wa israili
 
Weee! ndo Pusi kabisa!! hujui kitu!! niombe samahani!!! kuua ni nzuri? Mkurugenzi wa hapa unapoandikia leo (Melo) alimpa wkt mgumu! hivi unavo andika hapa leo alikuwa hataki sijui kwa nini umekuja humJF bila aibu???...yaani

Melo ana roho nzuri sana, ningekuwa mie wafuasi wa magu na wawekea kitufe msikanyage humu kamwe siwezi kumpongeza kilaza muuaji, nitashe yule kasoro yule!...amejaa damu za watu wasiyo kuwa na hatia...

tena ni wazi yuko kuzimu na weye utaenda huko huko! sasa Lisu yule Risasi zooote zile za nini?? ulikuwa ni uharibifu wa Risasi zetu bila sababu!

Alikuwa na haja gani ya kumuajili Tapeli yule Msiba (NGO)?? kwanza yuko wapi?? kasepa Lesotho!...Hakujua kutunga hoja za kukaa na wenzake!...muoga..mwizi wa kura Mungu akamtumbua!.....ivi unajiuizaga yuko wapi!

Dodoma kuhamia kule ili iweje labda???? bado hapa fai kwa sasa alikurupuka!!! si unaona mpaka sasa wanaenda na kurudi???
 
Mungu alituamulia ugomvi

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hayo ongea humu kwenye wanasiasa wachumia tumbo. Kasema haya mtaani kwa raia uone! Ukutane na mtu ametoka kwa Wakala ameliwa tozo alafu umpe hizi hadithi.
 
Sikusamehi.Kumbe ninyi ndiyo mlileta balaa nchini?
 
Hayo ongea humu kwenye wanasiasa wachumia tumbo. Kasema haya mtaani kwa raia uone! Ukutane na mtu ametoka kwa Wakala ameliwa tozo alafu umpe hizi hadithi.
Inategemeana na uelewa. Watu wengi wanafahamu magu alikuwa muongo sana na mkatili.
 
Hakuna asiejua hilo. Nyinyi mtaishi milele.
Tutakufa kweli siku yeyote lakini furaha yetu ni kuona DIKTETA amekufa kabla yetu. Dikteta ambaye January 2016 alisema "atakayebaki Dar es Salaam baada ya miezi 6 ni mwanaume"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…