Nawaomba radhi Watanzania kwa kushiriki kumuweka Madarakani Malinzi

M
Mupwaaaaaa iimekuingiaaaa njoo usiku wa jamal malinzi na michae l wamburaaa tunataka wapiga kazi nw
 
HIVIII HAJI AJACHUKUA FOMU TFF DAH NIMEMMISI KAKAYETU NA MAKELELE YA UKWELIII

msemajii mpya jerry muro ndioo mtavaa shangaa mwaka huu
 
Hakuna mtu mwenye njaa na mpigaji kama Nyamlani,nenda TEFA katafute mafaili yake kwa wanaomjua.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Ningeshauri Kamati ya Uchaguzi ipitie huku JF Malinzi ameanza kampeni na kuwachafua wagombea wenzake kwa hii ID. Ali Mayayi nae muda mrefu nimeona slogan yao Salehe Jembe kabla ya hata hajachukua fomu.

Huu ni uvunjaji wa kanuni na sheria za uchaguzi.
 
Mshaanza kulia kulia kabla kipenga hakijapulizwa,kunya anye kuku akinya bata kaharisha. Mnavyomchafua na kumpiga vita Malinzi na mpaka Uzi wa kumuondoa mmemuanzishia hapa hizo sio kampeni tena chafu kabisa. Na bado.
@TeamMalinzi For Second Term.
 
Mpwaaa nawachekaaa bureee hawa wacheza shooo wamatopeniii wakitaka kuitumia tbm ikashtuka tutafungiwa allah

Njooni muuone usiku wa [HASHTAG]#JAMALMALINZI[/HASHTAG]
Mpwaa hao wanatapata wanafahamu kazi kubwa ya Malinzi anayoifanya kwa mustakhabali wa soka letu sema wanasumbuliwa na wivu,chuki na ukabila.
@TeamMalinzi For Second Terms.
 
Unakuza soka la vijana alafu vile vilabu ambavyo vingechukua hao vijana unavibeba beba vishinde, rejea ligi daraja la kwanza na mauza uza yake!
Tengeneza vijana pia wawekee mazungira timu ziweze wachukua la sivyo aanzishe tff sports club!
 
Unakuza soka la vijana alafu vile vilabu ambavyo vingechukua hao vijana unavibeba beba vishinde, rejea ligi daraja la kwanza na mauza uza yake!
Tengeneza vijana pia wawekee mazungira timu ziweze wachukua la sivyo aanzishe tff sports club!
Hayo ndio maneno yakuongea sio mna generalized eti Malinzi hafai,kila kitu kina changamoto zake na sisi wadau wa nje tunazozioana hizo changamoto ndio tuanatikiwa tutoe maoni yatu lakini tukisema tukae kimwa kukimtegea Malinzi akosee ili tupate lakusema hatutafika. Mambo kama hayo Malinzi ndio atadili nayo awamu yake ya pili.
 
Umelipwa bei gani ili kuua soka la Tanzania ?
Hahaaaaa mchaga na mhaya wapi na wapi mm sio mnafiki mpwaaa ngoma inogile hii AJAMALIZA KAZI TULIOMTUMA JAMAL MALINZI PLS TUPE NAFASI HAOO MLIOWALETA WAMEKUJA KUOMBA NAFASI ZA NEEMA MKUU AKISHINDAA

YAANII ...1.JM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…