Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
M
Mupwaaaaaa iimekuingiaaaa njoo usiku wa jamal malinzi na michae l wamburaaa tunataka wapiga kazi nwUnajua some times unaweza kuandika kitu ukakichukulia cha kawaida kinoma, kumbe chaweza kuwa na mtazamo mbaya kwa ukiyemwandika.. Utasemaje sijui historia ya soka vizuri wakati hata hatufahamiani, na hujui nini najua kuhusu soka.....
Kuwa mkubwa kiongozi... Kuwa na mitazamo tofauti sio kosa, ila kamwe usitumie maneno ya kejeli kwa mtu mwenye mtazamo tofauti na ww