Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #101
Mkuu Frank , hebu jielekeze kwenye ilani yetu ya uchaguzi wakati ule , angalia zile sera za Malinzi , namba 1 mpaka 3 , halafu urudi tena .Huyo hajitambui,ukimuuliza tuambie Malinzi kakosea wapi na kipi kafanya wanakwambia hajafanya lolote lile.
Hahahahhahah tafadhali sana Mkuu huko utakuwa umefika mbali sana.Mkuu Frank , hebu jielekeze kwenye ilani yetu ya uchaguzi wakati ule , angalia zile sera za Malinzi , namba 1 mpaka 3 , halafu urudi tena .
Vinginevyo nitakuweka kwenye kundi la Makomandoo wa Malinzi wanaoishi kwa kumfungulia mlango .
Ok nimekuelewa but hapa kunaweza na external factors zilizosababisha asitimize hizo Sera zote kwa wakati husika. Unaweza kuta mazingira aliyoyakuta yalikuwa hayapo sawa kwa yeye kutimiza hizo Sera akaamua kwanza aweke mazingira sawa kwanza ili aweze kutimiza hizo Sera. Sawa mwalimu wa form4 pale anapopokea darasa jipya kutoka form3 anaweza kukuta mazingira ya wanafunzi wake kusoma mambo ya form4 sio mazuri kwa hiyo itampasa either awaambie watafute muda wasome vitu Fulani vya form3 ambavyo hawavijui au yeye mwwnyewe achukue hilo jukumu.Mkuu Frank , hebu jielekeze kwenye ilani yetu ya uchaguzi wakati ule , angalia zile sera za Malinzi , namba 1 mpaka 3 , halafu urudi tena .
Vinginevyo nitakuweka kwenye kundi la Makomandoo wa Malinzi wanaoishi kwa kumfungulia mlango .
Nitaboresha jengo la TFF , lakini baada ya kushinda akahamishia ofisi kwenye jengo lenye hadhi yake la NSSF kwa gharama za TFF !Ok nimekuelewa but hapa kunaweza na external factors zilizosababisha asitimize hizo Sera zote kwa wakati husika. Unaweza kuta mazingira aliyoyakuta yalikuwa hayapo sawa kwa yeye kutimiza hizo Sera akaamua kwanza aweke mazingira sawa kwanza ili aweze kutimiza hizo Sera. Sawa mwalimu wa form4 pale anapopokea darasa jipya kutoka form3 anaweza kukuta mazingira ya wanafunzi wake kusoma mambo ya form4 sio mazuri kwa hiyo itampasa either awaambie watafute muda wasome vitu Fulani vya form3 ambavyo hawavijui au yeye mwwnyewe achukue hilo jukumu.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Utaboreshaje nyumba wakati huo huo unaishi humo?Nitaboresha jengo la TFF , lakini baada ya kushinda akahamishia ofisi kwenye jengo lenye hadhi yake la NSSF kwa gharama za TFF !
Na uzuri mmoja Malinzi hana muda wakuimba taarabu mdomoni yeye ni kuchapa kazi tuu.
Msaidiee huyo....kaja na ka thread chake cha samahanii ajuii nayoo n weakness.....umemsaidia alafu unamgeuka tutakuaminije leoo hii unaemfikiria kumsaidia hutomgeuka againUtaboreshaje nyumba wakati huo huo unaishi humo?
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Hahahahaha kuna sehemu Malinzi alikata mrija....Msaidiee huyo....kaja na ka thread chake cha samahanii ajuii nayoo n weakness.....umemsaidia alafu unamgeuka tutakuaminije leoo hii unaemfikiria kumsaidia hutomgeuka again
Mkuu inaelekea Malinzi anakunyima sana usingizi,haya tudadavulie hapa kwenye hizo Sera ni zipi katekeleza na zipi hajatekeleza.Nimepitia sera za Malinzi kaahidi mambo mengi lakini hajatekeleza. Ni wakati wa kuondoa makanjanja wa soka
JAMAL MALINZI AZINDUA KWA KISHINDO KAMPENI ZAKE KUWANIA URAIS TFF, AANIKA SERA ZAKE
Halafu ukimaliza tuletee Sera za mtangulizi wake kipindi cha kwanza utuambie ni zipi alitekeleza na zipi hakutekeleza.Nimepitia sera za Malinzi kaahidi mambo mengi lakini hajatekeleza. Ni wakati wa kuondoa makanjanja wa soka
JAMAL MALINZI AZINDUA KWA KISHINDO KAMPENI ZAKE KUWANIA URAIS TFF, AANIKA SERA ZAKE
Sioni jipya hapo.Msingi wa soka ni timu za vijana Malinzi kajitahidi sana kwa hili kukuza na kuweka misingi mizuri kwa soka la vijana na matokeo yake hayataonekana kwa muda mfupi huu,soka la wanawake kajitaidi mpaka kulifufua hili ambalo lilikuwa lishakufa,timu ya Taifa kajitahidi kila awezalo ikiwa ni pamoja na kuleta makocha wa nje na ndani,kugharamia kambi ya timu nje na ndani pamoja kutoa posho stahiki ambapo jambo hili huko nyuma lilikuwa na mshike mshike mpaka bakuli litembezwe. Pia amejitahidi sana kupunguza migogoro ya vilabu na vyama vya soka mikoani ikiwemo TTF yenyewe. Ligi kuu kuonyeshwa live,kutafuta wadhamini kila kona kusaidia vilabu na timu ya Taifa. Kufanikiwa kutupatia nafasi ya kuwa mwenyeji wa u17, kufanya maboresho mbalimbali ya ligi na baadhi ya viwanja. Hayo ni machache tuu yapo mengi.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Huwezi kuona jipya hats kidogo sababu unaongozwa na chuki na wivu.Sioni jipya hapo.
Hata wakati ule tulikuwa na mkakati mkubwa sana , kumbuka tuliruka vihunzi vya mapingamizi kibao ! Lakini utekelezaji 0 .Nimepitia sera za Malinzi kaahidi mambo mengi lakini hajatekeleza. Ni wakati wa kuondoa makanjanja wa soka
JAMAL MALINZI AZINDUA KWA KISHINDO KAMPENI ZAKE KUWANIA URAIS TFF, AANIKA SERA ZAKE
Hamjaanza leo kumuhumu Malinzi mlianza wakati wa mwaka wake wa kwanza tuu kumsemea mbovu na kwa jinsi alivyo na hekima na uvumilivu hakutaka majibishano na nyinyi akaamua kuchapa kazi kwa uadilifu mkubwa sana. Kwa hiyo hapo hakuna jipya.Hata wakati ule tulikuwa na mkakati mkubwa sana , kumbuka tuliruka vihunzi vya mapingamizi kibao ! Lakini utekelezaji 0 .
Amekosea soln sio kumkimbia daway deni kulipa akomaee kashachemshaHahahahaha kuna sehemu Malinzi alikata mrija....
Moja wapo ni kukataa mpira wa miguu kuchezwa mezani.Kafanya makubwa huyu bwana, mojawapo ni kuigeuza TFF kuwa klabu.
Una matatizo wewe na huyo aliyekutuma umpigie kampeni humu jf.Tatizo la watanzania tunataka output ionekane hapo hapo bila kujua kuwa kila kitu kinahitaji good foundation kwa maana ya kuwa sisi tunachokitaka kukiona ni Taifa Stars iwe inashinda kila match bila kusahau kuwa hatuna msingi mzuri wa timu za Watoto na vijana ambapo sasa Malinzi ndio amejikita huko.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app