Nawaomba radhi Watanzania kwa kushiriki kumuweka Madarakani Malinzi

Nawaomba radhi Watanzania kwa kushiriki kumuweka Madarakani Malinzi

Najua hufahamu historia ya mpira vizuri umedandia tuu uliposika watu wanamtaja Malinzi na wewe ukajiona usibaki nyuma.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Kamwambie aliyekutuma hali yake mbaya, tena usimfiche mwambie tu ukweli. Na mwaka huu mkipona nitaamini kweli uchawi upo, asubiri ripoti ya wizara na takukuru soon itamvua taulo.
 
Hamjaanza leo kumuhumu Malinzi mlianza wakati wa mwaka wake wa kwanza tuu kumsemea mbovu na kwa jinsi alivyo na hekima na uvumilivu hakutaka majibishano na nyinyi akaamua kuchapa kazi kwa uadilifu mkubwa sana. Kwa hiyo hapo hakuna jipya.
Sasa kama jitu bovu usiliseme. Jitu bovu!! Na halijui kuongoza soka mlisifie tu!!!
 
Una matatizo wewe na huyo aliyekutuma umpigie kampeni humu jf.
Sasa nikwambie tu, kama malinzi akishinda, kila ukiniona humu jf nitukane
Malinzi anashinda asubuhi na mapema,kelele za wachumia tumbo wa JF hazimzuii Rais bora kabisa wa soka la Tanzania kutetea kiti chake kwa awamu ya pili. Kwa kura hazipigwi hapa JF.
 
Kamwambie aliyekutuma hali yake mbaya, tena usimfiche mwambie tu ukweli. Na mwaka huu mkipona nitaamini kweli uchawi upo, asubiri ripoti ya wizara na takukuru soon itamvua taulo.
Usharukia kwenye uchawi tayari,ooh mara anagawa rushwa sasa hivi mmerukia kwenye uchawi. Kama uchawi upo na nyinyi karogeni mshinde. Nyie ni wepesi sana kama toilet paper.
 
Sasa kama jitu bovu usiliseme. Jitu bovu!! Na halijui kuongoza soka mlisifie tu!!!
Kweli ukimchukia mtu ataakitenda maendeleo ya aina gani ataonekana hafai,nimeamini mti wenye matunda ndio utupiwa mawe.
 
Ungekuwa na maana kama ungeandika jina lako halisi, au ungemwambia maneno hayo yeye malinzi!
 
Una matatizo wewe na huyo aliyekutuma umpigie kampeni humu jf.
Sasa nikwambie tu, kama malinzi akishinda, kila ukiniona humu jf nitukane
Usifanye hivyo mkuu , Rushwa ina ushawishi mzito sana .
 
Nilikuwa mmoja wa wadau wa soka tuliopambana kufa na kupona kuhakikisha kwamba Jamal Malinzi anashinda urais wa TFF , Tulipambana kwa udi na uvumba , Kwa hali na mali hadi tukafanikiwa .

Lakini kwa madudu yaliyotokea kwenye uongozi wake , nimeona nijitokeze mbele yenu ndugu zangu kuwaombeni sana radhi kwa hujuma hii tuliolifanyia soka la Tanzania , mtoto akinyea mkono usiukate , Naahidi sitorudia tena kufanya madudu ya kumbeba mtu yeyote asiye na uwezo kwa vile tu ni Mfanyabiashara mwenzangu .

Wito wangu kwa wadau wa soka wa Tanzania , hakikisheni mnachagua mtu mwenye uwezo wa kuongoza , na mwenye kuzijua hasa changamoto za soka la nchi hii.

Niko tayari kusaidia upande wowote wa kambi ya mgombea yeyote mwenye weledi na mwenye maono ya kusukuma soka la Tanzania mbele zaidi.

Mungu ibariki TFF .
Kwanini usigombee wewe! Kama una uwezo huo! Funguka kuwa interest zako kwa Malinzi hazikuzingatiwa!
 
Malinzi anaaibika huko kwenye mitandao. Wake zake mnaomtetea humu mwende kumsaidia
 
Back
Top Bottom