Nawaombeni sana wana JF na mods muwapuuze vijana wanaokuja na nyuzi za kujinyonga

Nawaombeni sana wana JF na mods muwapuuze vijana wanaokuja na nyuzi za kujinyonga

Teslarati

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2019
Posts
2,621
Reaction score
10,466
Hakuna salamu, nimekasirika sana

Yaan watu tunapambana kuishi bado tunaumwa maugonjwa ya ajabu yasio na tiba, tuna michepuko 3 na ndoa 2, january (njaanuaru) inakuja watoto lazima waende shule, kabla ya njanuary hizi sherehe wategemezi wote wanakuangalia ww. Halafu unapambana nayo yote unakuja kukutana na mpuuzi mmoja anajaza server za JF kusema anataka kujinyonga. Hayo maisha si ukawagawie basi wanaopambania maisha yao huko ICU?

Wana JF mkiwaendekeza hawa vijana wapuuzi mnaenda kufanya swala la kuongelea kujiua liwe kawaida.

Na nashauri Moderator nyuzi za kujiua zipigwe ban sababu hata facebook ilizuka tabia ya watu kujinyonga insta/fb live lkn system zao sikuhizi zinazuia suicidal content, na hio ndio standard ya hizi social media sites, suicidal contents haziruhusiwi hivyo zisiendekezwe.

Cc Maxence Melo Moderator
 
Sasa mtu kajinyonga yeye wewe unawashwa nini?
Hatutaki aje kutaka attention. Maamuz ya kujinyonga ni kubeba kamba kujichimbia chimbo, chapchap unawahi kwa godi.

Kuna mmoja anakuja hapa kuomba maushauri sijui. Mara ajingonge saa ngapi mara anaona aache siku mbili tatu zipite. Mattarcle yak'E'
 
Anayejinyonga Hatangazi...
Mfano wewe mtoa mada ukitaka kujinyonga si utafanya kimya kimya kwani utakuja kusema hapa eti....?
 
1. Matatizo ya kiakili yapo mkuu, tukiendelea kuyapuuzia ndo tunaleta hatari zaidi

2. Hata kwenye maandishi, unaweza kuhisi kama mtu anafanya utani ama yupo serious, sasa mtu kaeleza shida yake vizuri kabisa kwanini tusimpe nasaha?

3. Suicidal content ni maudhui yanayochochea watu kujiua mfano kuna falsafa inaitwa nihilism, ni maudhui ambayo yanamchochea mtu kujiua, mtu kuomba msaada kuhusu suicidal thoughts imekua suicidal content?
 
huoni kama anashawishi na watu wengine kuwa ndio suluhisho la matatizo yakikushinda
 
Nna matusi machafu sana ngoja nikae kimya. We endelea kunichokoza nije nikufirimbe threesome ww na mama yako
Sasa ndo nini kunialika nikufire wewe na mama yako? Mama yako ananitosha yupo nasty Sana halafu anapiga miguu yote usiombe akiwa anakata mauno huwa namwaga mpaka damu
 
Back
Top Bottom