Princeshizo
New Member
- Aug 23, 2013
- 2
- 0
jamani ndugu zangu mimi ni mmoja kati ya wliochaguliwa kujiunga na mount meru university lakini kinachonipa mawazo nikwamba hadi leo sijaiyona tarehe ya usajili wala tarehe yakuanza masomo , hivi nikwamba hawajaweka au mimi mwenyewe nimeshindwa kuzigundua ziko wapi? hebu nisaidieni kwa hili.