sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Ni ndani ya kipindi kifupi sana kabila hili ambalo lilikuwa halijulikani na kuchukuliwa poa kwa sasa linafanya maajabu, Mafanikio waliyopata si ya kubeza hasa kwa kuimiliki kariakoo kwa asilimia kubwa ambayo zamani ilijaa wachaga na wapemba.
Mafanikio yao yamefanya hata makabila mengine ambayo yalikuwa yakiwadharau ama kuwachukilia poa kwa sasa yanalazimisha waonekane ni watani wakati kiukweli zamani kabla ya kufanikiwa makabila yanayowazunguka ilikuwa ni kama dharau wao kuwaita watani wa wakinga.
Wengi wameanza kuwajua hawa watu siku hizi ila ukianza kufatilia harakati zao tangu zamani hawa wakinga wamepitia magumu sana, walikuwa wanauza mitungi ya gesi kwa shida sana, njiani wiki nzima walikuwa wanakula mikate ya kuoka (mabumunda), wanatembeza mitungi ya gesi Matema mpaka Tukuyu sio mchezo.
Wapo juu kwa sasa lakini muda unavyokwenda hawatakua na mpinzani.
Siri yao kubwa hawa jamaa ni nodhamu ya pesa kubwa ambayo wengi twaiona ni ubahili, nyuma ya hii nidhamu ya pesa ni kutosahau walikotoka kwa mpaka walipo kwasababu ya nidhamu ya pesa na kuwa na malengo makubwa kuona walipofika hapatoshi wanahitaji kuendelea kujibana.
Kipato kikiongezeka ni kweli matumizi yataongezeka lakini kwa kiasi gani lakini ni muhimu kuangalia kiwango chake, hawa jamaa wanaongeza matumizi kwa kiwango kidogo sana huku wakiwa hawajaridhika walipofika, unaweza kuona mkinga kateka wilaya flani lakini yeye bado ataendelea kujibana ili ateke wilaya nyingine, ataendelea kujibana ateke mkoa, ataendelea kujibana ateke ukanda n.k. hawaridhiki na hawasahau walikotoka kwa kuiheshimu pesa.
Kwenye faida nako huwa hawana hata tamaa, lengo ni kupata wateja wengi, ni heri kuuza kwa faida ya elf 1 ili kupata wateja 100 kuliko kuuza kwa faida ya elf 5 kwa watu 10,
Kwenye starehe hawa jamaa wapo lakini bado nidhamu ya pesa inawalinda, heri anywe zake bia zake nyumbani kuliko bar