Nawaona Wakinga wakiwa hawana mpinzani katika biashara Tanzania

Mkuu kwamba unataka kusema makabila mengine yamememezwa na wakinga?
Unapozungumzia wakinga ume base K.koo tuu ..Unapaswa ujue kuna biashara nyingi sana ambazo zinafaida kubwa zaidi ya hizo za uchuuzi za k.koo
Panua ubongo wako kifikra ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchumi wa watu wa Nyanda za juu ni Uchumi unaotokana na Kilimo na sasa Ufugaji.

Na kwa Sababu wao wanetoka Mashambani,hawana matumizi ya Hovyo...
Kuna wahehe, wanyakyusa, wangoni, wabena, wasafwa, n.k. hao nao wanatoka mikoa ya nyanda za juu kusini na wakifika dar mitaji kwa wengi imetoka kwenye kilimo ila maendeleo yao si makubwa.

ishu ni kwamba wakinga wanafundishana na kubebana
 
Mkuu kwamba unataka kusema makabila mengine yamememezwa na wakinga?
Unapozungumzia wakinga ume base K.koo tuu ..Unapaswa ujue kuna biashara nyingi sana ambazo zinafaida kubwa zaidi ya hizo za uchuuzi za k.koo
Panua ubongo wako kifikra ...

Sent using Jamii Forums mobile app
kariakoo sio wachuuzi (small scale retailers) kariakoo ni large scale retailers wanagonga hata faida za milioni 50 kwa siku kawaida sana tu,

Hakuna soko linaloiingizia serikali kodi kubwa kama Kariakoo a hapo bado watu wanakwepa sana kodi, Kariakoo ndio baba lao... kuikamata kariakoo ni kuzikamata pesa za wafanyabiashara wengi wa mikoani na wale wa Zambia, Malawi, Rwanda, Burundi na Congo....
 
Vyote nimekuelewa ila hapo mitungi ya gesi ndo sijakupata. Gesi gani, hizi za majumbani. Na kwann wauze kwa shida, ni kwamba walikuwa hawapati faida
zamani kwa mikoani kupata gesi hizi za kupikia ilikuwa taabu, walikuwa wanauza kwa shida kwasababu kulikuwa hakuna watu walio tayari kuuza kwa shida ili kupata faida, yes faida lazima iwepo
 
Ni ndani ya kipindi kifupi sana kabila hili ambalo lilikuwa halijulikani na kuchukuliwa poa kwa sasa linafanya maajabu, Mafanikio waliyopata si ya kubeza hasa kwa kuimiliki kariakoo kwa asilimia kubwa ambayo zamani ilijaa wachaga na wapemba.

Mafanikio yao yamefanya hata makabila mengine ambayo yalikuwa yakiwadharau ama kuwachukilia poa kwa sasa yanalazimisha waonekane ni watani wakati kiukweli zamani kabla ya kufanikiwa makabila yanayowazunguka ilikuwa ni kama dharau wao kuwaita watani wa wakinga.

Wengi wameanza kuwajua hawa watu siku hizi ila ukianza kufatilia harakati zao tangu zamani hawa wakinga wamepitia magumu sana, walikuwa wanauza mitungi ya gesi kwa shida sana, njiani wiki nzima walikuwa wanakula mikate ya kuoka (mabumunda), wanatembeza mitungi ya gesi Matema mpaka Tukuyu sio mchezo.

Wapo juu kwa sasa lakini muda unavyokwenda hawatakua na mpinzani.

Siri yao kubwa hawa jamaa ni nodhamu ya pesa kubwa ambayo wengi twaiona ni ubahili, nyuma ya hii nidhamu ya pesa ni kutosahau walikotoka kwa mpaka walipo kwasababu ya nidhamu ya pesa na kuwa na malengo makubwa kuona walipofika hapatoshi wanahitaji kuendelea kujibana.

Kipato kikiongezeka ni kweli matumizi yataongezeka lakini kwa kiasi gani lakini ni muhimu kuangalia kiwango chake, hawa jamaa wanaongeza matumizi kwa kiwango kidogo sana huku wakiwa hawajaridhika walipofika, unaweza kuona mkinga kateka wilaya flani lakini yeye bado ataendelea kujibana ili ateke wilaya nyingine, ataendelea kujibana ateke mkoa, ataendelea kujibana ateke ukanda n.k. hawaridhiki na hawasahau walikotoka kwa kuiheshimu pesa.

Kwenye faida nako huwa hawana hata tamaa, lengo ni kupata wateja wengi, ni heri kuuza kwa faida ya elf 1 ili kupata wateja 100 kuliko kuuza kwa faida ya elf 5 kwa watu 10,

Kwenye starehe hawa jamaa wapo lakini bado nidhamu ya pesa inawalinda, heri anywe zake bia zake nyumbani kuliko bar
Kisa ni Vunja bei tu ama?
 
Kweli?hivi bakheresa ni kabila gani?
Acha ujinga,hakuna Cha upekee wanachofanya ambacho jamii zingine hazifanyi,
Mwanza mpaka Masasi,kote huko ukienda wenyeji jamii za huko zinamiriki biashara kubwa tu,ni Swala la principle,hakuna uchawi Wala IQ ya kutisha
 
Wakinga wanatumia kanuni za kufanikiwa kama zinavyotumiwa na Wayahudi ambao wao ndio wahasisi wa kanuni hizo, ambazo hata wachina wamewaiga Wayahudi. Na mtu yeyeto akizitumia ufanikiwa pia. Ishu ya ushirikina ni imani binafsi

Kanuni zipi hizo zitaje boss
 
na hapo wala hawazi kupanua biashara
Mpare anaweza kutunza hela kuliko hata mchaga lakini anachomshinda mchaga ni kwenye kutoa hela kuwekeza.......

Mpare anapenda hela kuitazama tu mfukoni ndio furaha yake na sio kuitumia kumzalishia........

Mji wa Moshi wapare ndio watu wa mwanzo kuingia pale mjini lakini mpaka leo ndio kabila limebakia nyuma.......

Wachaga wametoka milimani huko Rombo, Tarakaea, Marangu, Kilema na Kibosho wamekuja kuitawala mji wa Moshi kibiashara.....wapare wameishia kuwa wapiga debe na fundi viatu........

Hata mji wa Himo ambao nao umeshamiri wapare hakuna Cha maana wanachofanya zaidi ya kula mirungi na kuwa madalali wa mabasi pale stendi.......

Hata hao waliobahatika kufungua vibiashara havikui viko pale pale miaka nenda miaka Rudi.....hamuamini hata mkewe kwenye duka lake na yeye akifa anakufa na biashara yake......

Miji waliyojaa wapare ndio imekuwa kitovu na alama ya umaskini wa mwili na akili kwa mkoa wa Kilimanjaro......anzia hedaru, Makanya, Same, Mwanga, Gonja mpaka Usangi....kote huko kumepauka.....ukiingia Kona ya kuelekea Himo Mandhari yake tu yanakuonyesha kuwa umeingia eneo la watu wanaojua wanafanya nini maishani mwao.......

Mimi ni mpare lakini ukweli mchungu ni kuwa wapare tunautia aibu mkoa wa Kilimanjaro.....
 
Nakutio Mapele thi kindu, kindu ni mshombe
 
Ni ndani ya kipindi kifupi sana kabila hili ambalo lilikuwa halijulikani na kuchukuliwa poa kwa sasa linafanya maajabu, Mafanikio waliyopata si ya kubeza hasa kwa kuimiliki kariakoo kwa asilimia kubwa ambayo zamani ilijaa wachaga na wapemba.

Mafanikio yao yamefanya hata makabila mengine ambayo yalikuwa yakiwadharau ama kuwachukilia poa kwa sasa yanalazimisha waonekane ni watani wakati kiukweli zamani kabla ya kufanikiwa makabila yanayowazunguka ilikuwa ni kama dharau wao kuwaita watani wa wakinga.

Wengi wameanza kuwajua hawa watu siku hizi ila ukianza kufatilia harakati zao tangu zamani hawa wakinga wamepitia magumu sana, walikuwa wanauza mitungi ya gesi kwa shida sana, njiani wiki nzima walikuwa wanakula mikate ya kuoka (mabumunda), wanatembeza mitungi ya gesi Matema mpaka Tukuyu sio mchezo.

Wapo juu kwa sasa lakini muda unavyokwenda hawatakua na mpinzani.

Siri yao kubwa hawa jamaa ni nodhamu ya pesa kubwa ambayo wengi twaiona ni ubahili, nyuma ya hii nidhamu ya pesa ni kutosahau walikotoka kwa mpaka walipo kwasababu ya nidhamu ya pesa na kuwa na malengo makubwa kuona walipofika hapatoshi wanahitaji kuendelea kujibana.

Kipato kikiongezeka ni kweli matumizi yataongezeka lakini kwa kiasi gani lakini ni muhimu kuangalia kiwango chake, hawa jamaa wanaongeza matumizi kwa kiwango kidogo sana huku wakiwa hawajaridhika walipofika, unaweza kuona mkinga kateka wilaya flani lakini yeye bado ataendelea kujibana ili ateke wilaya nyingine, ataendelea kujibana ateke mkoa, ataendelea kujibana ateke ukanda n.k. hawaridhiki na hawasahau walikotoka kwa kuiheshimu pesa.

Kwenye faida nako huwa hawana hata tamaa, lengo ni kupata wateja wengi, ni heri kuuza kwa faida ya elf 1 ili kupata wateja 100 kuliko kuuza kwa faida ya elf 5 kwa watu 10,

Kwenye starehe hawa jamaa wapo lakini bado nidhamu ya pesa inawalinda, heri anywe zake bia zake nyumbani kuliko bar
Kumbe ukabila upo hapa Tanzania. Nilitegemea uwasifie watanzania walivyofanikiwa kuishika kariakoo ambayo ilikuwa chupuchupu kunyakuliwa na jamaa toka China. Wageni wangeishika Kariakoo kusingekuwa na andiko kama hili.
 
kariakoo sio wachuuzi (small scale retailers) kariakoo ni large scale retailers wanagonga hata faida za milioni 50 kwa siku kawaida sana tu,

Hakuna soko linaloiingizia serikali kodi kubwa kama Kariakoo a hapo bado watu wanakwepa sana kodi, Kariakoo ndio baba lao... kuikamata kariakoo ni kuzikamata pesa za wafanyabiashara wengi wa mikoani na wale wa Zambia, Malawi, Rwanda, Burundi na Congo....

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Mpare anaweza kutunza hela kuliko hata mchaga lakini anachomshinda mchaga ni kwenye kutoa hela kuwekeza.......

Mpare anapenda hela kuitazama tu mfukoni ndio furaha yake na sio kuitumia kumzalishia........

Mji wa Moshi wapare ndio watu wa mwanzo kuingia pale mjini lakini mpaka leo ndio kabila limebakia nyuma.......

Wachaga wametoka milimani huko Rombo, Tarakaea, Marangu, Kilema na Kibosho wamekuja kuitawala mji wa Moshi kibiashara.....wapare wameishia kuwa wapiga debe na fundi viatu........

Hata mji wa Himo ambao nao umeshamiri wapare hakuna Cha maana wanachofanya zaidi ya kula mirungi na kuwa madalali wa mabasi pale stendi.......

Hata hao waliobahatika kufungua vibiashara havikui viko pale pale miaka nenda miaka Rudi.....hamuamini hata mkewe kwenye duka lake na yeye akifa anakufa na biashara yake......

Miji waliyojaa wapare ndio imekuwa kitovu na alama ya umaskini wa mwili na akili kwa mkoa wa Kilimanjaro......anzia hedaru, Makanya, Same, Mwanga, Gonja mpaka Usangi....kote huko kumepauka.....ukiingia Kona ya kuelekea Himo Mandhari yake tu yanakuonyesha kuwa umeingia eneo la watu wanaojua wanafanya nini maishani mwao.......

Mimi ni mpare lakini ukweli mchungu ni kuwa wapare tunautia aibu mkoa wa Kilimanjaro.....
Nakuamini, na kweli unaijua Kilimanjaro. Japo wapo wanaopambana lakini
 
Hahaha ati wamewatoa wachaga? Unaota ndoto
Wachaga ni next level ni Sawa na mtu amiliki prêmio Kisha apate mafanikio anunue V8 then wewe uanze kutumia prêmio ilioachwa Kisha useme umemtoa yule alieiacha hyo prêmio
Wachaga biashara za kariakoo walisha ji upgrade wapo level nyingine,Hela zote za wakinga wa kariakoo hazifikii hâta robo ya Hela za mmiliki wa précision air
 
Back
Top Bottom