kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Na nyinyi mashabiki wa Simba acheni umbumbumbu wenu! Yaani kuifunga tu hiyo AS Vita, basi hatunywi maji! [emoji3062]
Vipi mkifika tu hata nusu fainali? Si hata chakula hatutakula kabisa!![emoji33] Yaani ndiyo kwanza safari imeanza tu, lakini tayari vichwa vinataka kupasuka!!
Msisahau kuna wale Wazee wa Khamsa Khamsa bado hamjacheza nao. Hivyo punguzeni kelele! Jipangeni kwa mechi zinazo fuata, ili mwakani tupate timu nne. Si mnafahamu hamtachukua ubingwa wowote mwaka huu zaidi ya ule mlio jiandalia wenyewe kupitia lile Bonanza?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Unaenda saa ngapi kwenye msiba Kongo?Na nyinyi mashabiki wa Simba acheni umbumbumbu wenu! Yaani kuifunga tu hiyo AS Vita, basi hatunywi maji! [emoji3062]
Vipi mkifika tu hata nusu fainali? Si hata chakula hatutakula kabisa!![emoji33] Yaani ndiyo kwanza safari imeanza tu, lakini tayari vichwa vinataka kupasuka!!
Msisahau kuna wale Wazee wa Khamsa Khamsa bado hamjacheza nao. Hivyo punguzeni kelele! Jipangeni kwa mechi zinazo fuata, ili mwakani tupate timu nne. Si mnafahamu hamtachukua ubingwa wowote mwaka huu zaidi ya ule mlio jiandalia wenyewe kupitia lile Bonanza?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Mkuu unajishusia hadhi, inakuwaje leo As Vita si wazee Hamsa ilhali mlikuwa mkiimba kila siku oooh Vita hatari mara nn...!Mkimpiga na Mzee Mwenyewe wa Hamsa hamsa Al Ahly, nyumbani na ugenini! Mimi Tate Mkuu, nitarudi hapa kuja kuwapongeza.
Lazima tutambe, na leo nyie manyani mnaenda kukeketwa na wale wapiga nyundo wa Mbeya.Na nyinyi mashabiki wa Simba acheni umbumbumbu wenu! Yaani kuifunga tu hiyo AS Vita, basi hatunywi maji! [emoji3062]
Vipi mkifika tu hata nusu fainali? Si hata chakula hatutakula kabisa!![emoji33] Yaani ndiyo kwanza safari imeanza tu, lakini tayari vichwa vinataka kupasuka!!
Msisahau kuna wale Wazee wa Khamsa Khamsa bado hamjacheza nao. Hivyo punguzeni kelele! Jipangeni kwa mechi zinazo fuata, ili mwakani tupate timu nne. Si mnafahamu hamtachukua ubingwa wowote mwaka huu zaidi ya ule mlio jiandalia wenyewe kupitia lile Bonanza?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Hawa vibwengo wa Utopolo wanashindwa na watoto wa juzi tu hapa Namungo, wao wanahangaika na mbaula lao watoto wanapaa kwenda nchi za watu kuwakilisha Taifa.Utopolo tulieni mkacheze huko Mbeya maana uwezo wenu umeishia hapo.
Mkuu SAGAI GALGANO Utopolo unawachachafya sana, wakiona comment yako wanapita kimya kabisa..[emoji1787]Hawa vibwengo wa Utopolo wanashindwa na watoto wa juzi tu hapa Namungo, wao wanahangaika na mbaula lao watoto wanapaa kwenda nchi za watu kuwakilisha Taifa.View attachment 1701260View attachment 1701261
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Utopolo mnateseka sanaaa. Na leo Mbeya city anawapapasa.Na nyinyi mashabiki wa Simba acheni umbumbumbu wenu! Yaani kuifunga tu hiyo AS Vita, basi hatunywi maji! [emoji3062]
Vipi mkifika tu hata nusu fainali? Si hata chakula hatutakula kabisa!![emoji33] Yaani ndiyo kwanza safari imeanza tu, lakini tayari vichwa vinataka kupasuka!!
Msisahau kuna wale Wazee wa Khamsa Khamsa bado hamjacheza nao. Hivyo punguzeni kelele! Jipangeni kwa mechi zinazo fuata, ili mwakani tupate timu nne. Si mnafahamu hamtachukua ubingwa wowote mwaka huu zaidi ya ule mlio jiandalia wenyewe kupitia lile Bonanza?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Huyo unayemsifia tulishawahi kumpiga kwao na kumg'oa kwenye klabu bingwa ya Afrika!Mkimpiga na Mzee Mwenyewe wa Hamsa hamsa Al Ahly, nyumbani na ugenini! Mimi Tate Mkuu, Shabiki Mwaminifu wa Timu ya Wananchi, nitarudi hapa kuja kuwapongeza.
Mimi huwa nashangaa hivi hawa akina kitenge, Dauda, Jeff Leah, na wote of the like walipataje kazi? Yaani wao fact moja ina wafanya wa generalize mambo. Bila facts za kutosha. Nilimshangaa siku moja mtangazaji wa TBC, alikuwa na shauku kuona Simba aidha anafungwa au anatoa draw. Sasa Azamu walipo funga goli la pili alilishangilia balaa. Kabla hajamaliza kufurahia akashangaa Simba wamesawazisha. It was my fisrt time kumsikiliza lakini nikajua huyu ni Utopolo. Poor makanjanja.Najua mna negative sana na Simba.Simba ifanye vyovyote ila mna maneno yenu ya kufanya timu yenu utopolo ionekane bora.
Haya TFF imeibeba tena Simba imefunga kwa penalty.
Na Simba ina mabeki wazee.AS vita watachomoa tu maana bado dakika 90.Kusema kweli siwasikilizagi siku hizi ila bahati mbaya ukiwa kwenye usafiri wa umma unalazimishwa kusikiliza utopolo ukanjanja wenu.
Inabidi muwe mnaheshimu watu wamewekeza pesa za kutosha kwenye timu ila ninyi mnaingia kwenye uzushi wa kijinga ili timu yenu utopolo ikubalike
Wanakera sana wanatuombea dua mbaya wakati tukifanikiwa tunawatupiaga mbeleko nao wapande ndege.Mkuu SAGAI GALGANO Utopolo unawachachafya sana, wakiona comment yako wanapita kimya kabisa..[emoji1787]