kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Najua mna negative sana na Simba.Simba ifanye vyovyote ila mna maneno yenu ya kufanya timu yenu utopolo ionekane bora.
Haya TFF imeibeba tena Simba imefunga kwa penalty.
Na Simba ina mabeki wazee.AS vita watachomoa tu maana bado dakika 90.Kusema kweli siwasikilizagi siku hizi ila bahati mbaya ukiwa kwenye usafiri wa umma unalazimishwa kusikiliza utopolo ukanjanja wenu.
Inabidi muwe mnaheshimu watu wamewekeza pesa za kutosha kwenye timu ila ninyi mnaingia kwenye uzushi wa kijinga ili timu yenu utopolo ikubalike