Kjna mdada alitoa mbususu kwa ridhaa yake mwenyewe, alijua mwamba ana mke, akampa tena akategesha mimba, mimba nayo haikuwa na hiana, ikaingia. Jamaa akaambiwa akasema mbona tulikubaliana hakuna kuzaa, imekuwaje? Dada kasems ni bahato mbaya, hakujua kuwa danger days hazijaisha.
Jamaa kakubali kulea mimba na hatimae mtoto, mtoto alivyokuja binti kalelewa vizuri tu, jamaa alikuwa anaenda shopping ananunua chakula cha mwezi mzima, anampa na matumizi ya mwezi mzima...yule dada sijui kashikwa masikio na nani. Kaenda ustawi wa jamii, kule kaulizwa nini shida, kasema jamaa anampa matumizi kidogo, jamaa kaitwa na kuzema mbona namhudumia, nampq chakula ha mwezi, nampa matumizi, nimempangia chumba..anataka nini tena?
Hasira za jamaa kaulizwa, utatoa shilingi ngapi kwa mwezi, kasema 70,000 tu. Leo hii dada anapewa 70k kwa mwezi. Kashikwa masikio kashikika..
Unadhani huyo dada ana akili au hana.