Nawaonea huruma rafiki zangu, usiombe kuzaa na mwanamke asie na akili

I don' t care..
You do, that's why una chuki moyoni. Kumwambia mtoto kuwa baba kafa manake una hasira na chuki kali mno.

Lakini the moment unampa mbususu ulijua upo danger, ulijua akimwaga ndani unapata mimba, ulijua hana uwezo wa kulea mimba na mtoto, you knew all that. Ukashupaza shingo.

Nawahurumia sana wanawake wanaolea wenyewe, ni mzigo mzito sana kubeba mwenyewe, lakini tujifunze...
 
Kijana mdada alitoa mbususu kwa ridhaa yake mwenyewe, alijua mwamba ana mke, akampa tena akategesha mimba, mimba nayo haikuwa na hiana, ikaingia. Jamaa akaambiwa akasema mbona tulikubaliana hakuna kuzaa, imekuwaje? Dada kasems ni bahato mbaya, hakujua kuwa danger days hazijaisha.

Jamaa kakubali kulea mimba na hatimae mtoto, mtoto alivyokuja binti kalelewa vizuri tu, jamaa alikuwa anaenda shopping ananunua chakula cha mwezi mzima, anampa na matumizi ya mwezi mzima...yule dada sijui kashikwa masikio na nani. Kaenda ustawi wa jamii, kule kaulizwa nini shida, kasema jamaa anampa matumizi kidogo, jamaa kaitwa na kuzema mbona namhudumia, nampq chakula ha mwezi, nampa matumizi, nimempangia chumba..anataka nini tena?

Hasira za jamaa kaulizwa, utatoa shilingi ngapi kwa mwezi, kasema 70,000 tu. Leo hii dada anapewa 70k kwa mwezi. Kashikwa masikio kashikika..

Unadhani huyo dada ana akili au hana.
 
Hapo hamna mtu
 
Anakaza tu fuvu ila anaelewa
 
Wanawakee huwaga wanadanganyika kirahisii sanaa... simlaumu ndivyo walivyooo
 
Hasira zisizo na msingi... wewe na huyo mwanaume mnakua hamtofautiani...
 
Hapo nakubaliana na wewe japo hujafunguka vizuri asee...!!
Kuna mmoja kakopa mara yakwanza Bank Milion nane kampatia mwanamke afanye biashara.Biashara ikafa.

Akaenda kukopa Bank Milion 15 nayo akamfungulia mwanamke Duka Zuri la urembo na Vipodozi na enyewe likafa...

Jamaa hamtaki tenaa mwanamke anatanga tanga kwenye vyombo vya sheria kulalama juu ya mwamba.

Yaani hii mijitu huwa inakera sana hasa ukilipata lenye mdomo mrefuu na vivu alafu kichwani kuwe hazimo...
Nakuaidi hakuna rangi utakayo acha onaa
 
Afya zao za akili ni njema?
 
Ila na sisi wanawake tumezidi, kwa nini uzae ilihali unajua kabisa mwanaume ni kimeo. Wenzetu wazungu na hata wachina wanaweza kukaa kwenye uhusiano hata miaka 10 bila kuzaa mpaka watakapjiona wako stable kuleta kiumbe duniani. Ni wanaume wachache sana wanaweza hudumia watoto ambao wamezaa bila mipango. Mwishowe mzigo mkubwa unakuwa kwa mwanamke. Na nyie wanaume muache kuzaa na mwanamke kama hupo tayari kulea. Sasa hivi watoto wanaolelewa na mzazi mmoja imeshakuwa janga. Unakuta binti mdogo kazalishwa na hana uwezo, anaishia kuwapa wazazi wao shida.
 
Huyo jamaa naye chenga, unaona mtu akili yake ndogo unamkopea aanzishe biashara ambayo unajua fika itakufa. Si bora hiyo milioni 23 angenunua nyumna uswahilini akapangisha hela ya kodi akawa anachukua mwanamke. Kuna ndugu yangu alipata mwanamke ambaye ameachika. Huyo mwanamke ana watoto 3. Kamfungulia biashara kubwa tu ikafa. Wakaja kuachana baada ya yule mwanamke kuona jamaa hana hela. Nasikia wamerudiana tena baada ya jamaa kupata vihela akanunua gari.
 
Hawa wadudu ni wachache sanaa ambao zimo kichwani...
Na ukipata yule ambae anajua kupanua mapaja hee...
Mbona utajutaa.
Maana ye akili zake akupanulie mapaja ye apate anacho takaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…