Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Kosa vyote ila usikose akili.
Machawa wa Mbogamboga wamepewa propaganda za kupush na wanazipush kwa fujo sana bila kujua matokeo yake.
Wamepewa propaganda ya kupush kuwa walioandamana ni wahuni na waporaji. Nao wasivyo na akili wanaipush kwa nguvu sana hiyo propaganda.
Wamepewa propaganda ya kupush kuwa hayakuwa maandamano zilikuwa vurugu nao wasivyo na akili wanazipush kwa nguvu sana bila kujua matokeo yake.
Wasichojua machawa wa CCM na Watetezi wa muuaji Samia ni kwamba hakuna Sheria yeyote ya kimataifa au hata ya ndani ya nchi inayosema mwizi au mporaji au muhuni auwawe.
Sheria zote za Kimataifa na ndani ya nchi zinataka mtuhumiwa yeyote wa kosa la jinai akamatwe na kufikishwa Mahakamani ambapo atashtakiwa na akikutwa na hatia afungwe jela au kupewa adhabu nyingine.
Kilichofanyika wakati wa uchafuzi ( sio uchaguzi) na baada ya uchafuzi hakikubaliki sio tu na Sheria za Kimataifa bali hata na Sheria za ndani ya nchi.
Kama kulikuwa na vurugu, Sheria za Kimataifa zinamtaka askari kuzuia vurugu kwa kutumia risasi za mpira na inapobidi kutumia risasi za moto basi apige hewani kuwatawanya wafanya vurugu. Kama ikipidi kupiga risasi kuzuia mtu kufanya vurugu anatakiwa ampige mguuni na sio tumboni au kifuani au kichwani. Mahali unapopiga risasi kunaeleza ulikuwa na dhumuni gani. Risasi inayopigwa tumboni au kifuani au kichwani ina dhumuni moja ya kuua na sio vinginevyo.
Sio hivyo mtu mtu anayejeruhiwa kwa risasi hapaswi kupelekwa mochwari na pale anapopelekwa hospitali hapaswi kuzuia kutibiwa.
Ushenzi alioufanya Samia kwa Watanganyika ndio ushenzi alioufanya aliyekuwa Rais wa Ufulipino ambaye sasa ameshtakiwa ICC bwana Duterte.
Duterte alikuwa na kampeni ya kuzuia dawa za kulevya akiwa Rais ila badala ya kukamata watuhumiwa na kuwafikisha Mahakamani ili waadhibiwe kisheria aliamuru vyombo vya dola viwaue. Leo yupo ananyea debe kwenye mahabusu za ICC.
Alichofanya Durtete hakitofautiani sana na alichofanya Samia akishirikiana na wahuni wake CDF, DGIS na IGP. Walijiandaa kuwauwa Watanganyika na wamefanya mauaji ya halaiki dhidi ya Watanganyika.
Kwa waliyofanya kamwe hawawezi kukwepa mkono wa Sheria za Kimataifa hata iweje. Ni suala la muda tu.