Hii Nchi si yakucheka na nyinyi wapumbavu.
Watu wakiongea ukweli mnawaita machawa, Tarehe 29 wakati maandamano Yana Anza,Videozlinaonyesha walikuwepo Polisi na Wanajeshi.
Kadri maandamano yalivyokua yakisonga mbele likaibuka kundi kubwa lililoanza vitendo vya uchomaji mali na uporaji.
Wewe na mbumbumbu wenzako mlitegemea wale polisi waendelee kulinda maandamano na kuacha vijana wanao choma maliza umma na kupora waendelee hivyo.
Bila kutumia Risasi Leo Hii DAR isingekua hivi. DAR ingekua jivu na vifo na majeruhi yangekua maradufu ya vilivyo tokea.
Walistahili ku ku zuiwa kwa Risasi ingawa yalikua maamuzi magumu ila ndio yaliyo Fanya mpaka Sasa kuwe na DAR hii unayo Iona.
Vijana walikua wengi na wanafanya uharibifu kwa Kasi kuliko Nzige.
Kitu kibaya ni kua vijana walipo ona Risasi zinatembea Waka kimbilia majumbani ambako watu wema walikua wamejificha, Hilo lilisababisha Risasi ziwafikie ambao hawakuhusika.
Polisi walikua sahihi kutumia nguvu waliyo tumia ingawa imeleta vifo ila Nchi Bado ipo salama.
Hatukupenda watu wafe ila ilikua njia sahihi ya kuwa dhibiti majambazi.
Nawasihi polisi tarehe 9 wa andamanaji wakijichanganya kuleta ule upuuzi wa tarehe 29, Wasi pepese