Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Nawahurumia pia maana Gen Z wakisinda watashitakiwa kama wauaji. Najiuliza kama Mwijaku bichwa lake ka dodokiKosa vyote ila usikose akili.
Machawa wa Mbogamboga wamepewa propaganda za kupush na wanazipush kwa fujo sana bila kujua matokeo yake.
Wamepewa propaganda ya kupush kuwa walioandamana ni wahuni na waporaji. Nao wasivyo na akili wanaipush kwa nguvu sana hiyo propaganda.
Wamepewa propaganda ya kupush kuwa hayakuwa maandamano zilikuwa vurugu nao wasivyo na akili wanazipush kwa nguvu sana bila kujua matokeo yake.
Wasichojua machawa wa CCM na Watetezi wa muuaji Samia ni kwamba hakuna Sheria yeyote ya kimataifa au hata ya ndani ya nchi inayosema mwizi au mporaji au muhuni auwawe.
Sheria zote za Kimataifa na ndani ya nchi zinataka mtuhumiwa yeyote wa kosa la jinai akamatwe na kufikishwa Mahakamani ambapo atashtakiwa na akikutwa na hatia afungwe jela au kupewa adhabu nyingine.
Kilichofanyika wakati wa uchafuzi ( sio uchaguzi) na baada ya uchafuzi hakikubaliki sio tu na Sheria za Kimataifa bali hata na Sheria za ndani ya nchi.
Kama kulikuwa na vurugu, Sheria za Kimataifa zinamtaka askari kuzuia vurugu kwa kutumia risasi za mpira na inapobidi kutumia risasi za moto basi apige hewani kuwatawanya wafanya vurugu. Kama ikipidi kupiga risasi kuzuia mtu kufanya vurugu anatakiwa ampige mguuni na sio tumboni au kifuani au kichwani. Mahali unapopiga risasi kunaeleza ulikuwa na dhumuni gani. Risasi inayopigwa tumboni au kifuani au kichwani ina dhumuni moja ya kuua na sio vinginevyo.
Sio hivyo mtu mtu anayejeruhiwa kwa risasi hapaswi kupelekwa mochwari na pale anapopelekwa hospitali hapaswi kuzuia kutibiwa.
Ushenzi alioufanya Samia kwa Watanganyika ndio ushenzi alioufanya aliyekuwa Rais wa Ufulipino ambaye sasa ameshtakiwa ICC bwana Duterte.
Duterte alikuwa na kampeni ya kuzuia dawa za kulevya akiwa Rais ila badala ya kukamata watuhumiwa na kuwafikisha Mahakamani ili waadhibiwe kisheria aliamuru vyombo vya dola viwaue. Leo yupo ananyea debe kwenye mahabusu za ICC.
Alichofanya Durtete hakitofautiani sana na alichofanya Samia akishirikiana na wahuni wake CDF, DGIS na IGP. Walijiandaa kuwauwa Watanganyika na wamefanya mauaji ya halaiki dhidi ya Watanganyika.
Kwa waliyofanya kamwe hawawezi kukwepa mkono wa Sheria za Kimataifa hata iweje. Ni suala la muda tu.
hamna propaganda, walipovamia vituo vya polisi hao ni waandamanaji, waliovamia ATM ni waandamanaji? ICC haende mtu ninachosikitika sana ni watu wachache kupigwa risasi walitakiwa wapigwe wa lutoshaKosa vyote ila usikose akili.
Machawa wa Mbogamboga wamepewa propaganda za kupush na wanazipush kwa fujo sana bila kujua matokeo yake.
Wamepewa propaganda ya kupush kuwa walioandamana ni wahuni na waporaji. Nao wasivyo na akili wanaipush kwa nguvu sana hiyo propaganda.
Wamepewa propaganda ya kupush kuwa hayakuwa maandamano zilikuwa vurugu nao wasivyo na akili wanazipush kwa nguvu sana bila kujua matokeo yake.
Wasichojua machawa wa CCM na Watetezi wa muuaji Samia ni kwamba hakuna Sheria yeyote ya kimataifa au hata ya ndani ya nchi inayosema mwizi au mporaji au muhuni auwawe.
Sheria zote za Kimataifa na ndani ya nchi zinataka mtuhumiwa yeyote wa kosa la jinai akamatwe na kufikishwa Mahakamani ambapo atashtakiwa na akikutwa na hatia afungwe jela au kupewa adhabu nyingine.
Kilichofanyika wakati wa uchafuzi ( sio uchaguzi) na baada ya uchafuzi hakikubaliki sio tu na Sheria za Kimataifa bali hata na Sheria za ndani ya nchi.
Kama kulikuwa na vurugu, Sheria za Kimataifa zinamtaka askari kuzuia vurugu kwa kutumia risasi za mpira na inapobidi kutumia risasi za moto basi apige hewani kuwatawanya wafanya vurugu. Kama ikipidi kupiga risasi kuzuia mtu kufanya vurugu anatakiwa ampige mguuni na sio tumboni au kifuani au kichwani. Mahali unapopiga risasi kunaeleza ulikuwa na dhumuni gani. Risasi inayopigwa tumboni au kifuani au kichwani ina dhumuni moja ya kuua na sio vinginevyo.
Sio hivyo mtu mtu anayejeruhiwa kwa risasi hapaswi kupelekwa mochwari na pale anapopelekwa hospitali hapaswi kuzuia kutibiwa.
Ushenzi alioufanya Samia kwa Watanganyika ndio ushenzi alioufanya aliyekuwa Rais wa Ufulipino ambaye sasa ameshtakiwa ICC bwana Duterte.
Duterte alikuwa na kampeni ya kuzuia dawa za kulevya akiwa Rais ila badala ya kukamata watuhumiwa na kuwafikisha Mahakamani ili waadhibiwe kisheria aliamuru vyombo vya dola viwaue. Leo yupo ananyea debe kwenye mahabusu za ICC.
Alichofanya Durtete hakitofautiani sana na alichofanya Samia akishirikiana na wahuni wake CDF, DGIS na IGP. Walijiandaa kuwauwa Watanganyika na wamefanya mauaji ya halaiki dhidi ya Watanganyika.
Kwa waliyofanya kamwe hawawezi kukwepa mkono wa Sheria za Kimataifa hata iweje. Ni suala la muda tu.
Hakuna jinsi, si uchawa tena, ni upumbavu.Kosa vyote ila usikose akili.

Unakuwa kama mtu aliyejinyea, ananuka.hamna propaganda, walipovamia vituo vya polisi hao ni waandamanaji, waliovamia ATM ni waandamanaji? ICC haende mtu ninachosikitika sana ni watu wachache kupigwa risasi walitakiwa wapigwe wa lutosha
hivi mlitaka waendeleee mpaka lini? mnao wasikitikia huwa nawaonaga majuha kweliTunawaambia haipo namna ya kutetea kilichotokea, kila ukitetea lazima utoe boko lingine promax. Hakuna kanuni wala sheria iliyopo upande wao kwenye hili.
Hakuna namna nzuri ya kutetea jambo baya.
Hata nashindwa kuelewa ni nani na nani walikaa wakajadili hili suala na kulitolea oda, Abduli na nani?
aTunawaambia haipo namna ya kutetea kilichotokea, kila ukitetea lazima utoe boko lingine promax. Hakuna kanuni wala sheria iliyopo upande wao kwenye hili.
Hakuna namna nzuri ya kutetea jambo baya.
Hata nashindwa kuelewa ni nani na nani walikaa wakajadili hili suala na kulitolea oda, Abduli na nani?
hamna propaganda, walipovamia vituo vya polisi hao ni waandamanaji, waliovamia ATM ni waandamanaji? ICC haende mtu ninachosikitika sana ni watu wachache kupigwa risasi walitakiwa wapigwe wa lutosha
Mkuu sasa na wewe umebonyeza sana bhana!Kuitetea hii serikali haramu ni kupoteza muda ni sawa na aliye Mtahili shoga
a
kupotezeana muda wachapwe shaba mpaka wawe wkiona kitu cha mtu hawakitamaniHakuna sheria yoyote ya ndani ama kimataifa inayoruhusu ushetwani unaouwaza wewe!
Nikuulize, hao waliovunja ATM na hao waliochoma kituo cha Polisi, wangekamatwa na kufikishwa mahakamani wangelihukumiwa kunyongwa?
Tatizo lenu wapumbaf, hamuwezi kutafakari jambo kisheria na kwa mapana, badala yake unaleta uharo wako kwenye mijadala ya watu wenye akili.
Samia na genge lake hawawezi kukwepa kosa hili la kisheria walilowafanyia waTngk. ICC inawahusu, hata baada ya kutoka madarakani.
Kosa vyote usikose akili. Kuanguka kwa hii nchi ni kujaa kwa waliokosa akili kuanzia huko kwa wapumbavu ccm hadi TISSUnakuwa kama mtu aliyejinyea, ananuka.
Ukiulizwa unassma mbona umetoka kuoga!
DUniani haki no 1 ni haki ya Uhai. Unapokatisha uhai wa mtu lazima dunia ikushughulikieWalioharibu mali za watu binafsi na jamii walikuwepo, na walioiba mali za watu binafsi na jamii pia walikuwaepo.
Vyombo vya usalama vilfanya mauaji ya raia, wengi tu.
Makundi yote haya mawili, yanapaswa yaadhibiwe kutokana ma makosa yao.
Hayo mambo ya sijui kulikuwa hakuna wizi na uharibifu au hakuna mauaji, ni kujidanganya wenyewe kwa sababu watanzania wanaopenda haki na amani wameona kila kitu.
Pande zote mbili zilaaniwe na zipate adhabu inayostahili.
Shida ni kukosa akili. Kosa vyote bwashee sio akili.Tunawaambia haipo namna ya kutetea kilichotokea, kila ukitetea lazima utoe boko lingine promax. Hakuna kanuni wala sheria iliyopo upande wao kwenye hili.
Hakuna namna nzuri ya kutetea jambo baya.
Hata nashindwa kuelewa ni nani na nani walikaa wakajadili hili suala na kulitolea oda, Abduli na nani?
Kwa kifupi wanazidi kumlengeza Samia kwenye mashtaka na tuhuma za kufanya uhalifu dhidi ya binadamu.Nawahurumia pia maana Gen Z wakisinda watashitakiwa kama wauaji. Najiuliza kama Mwijaku bichwa lake ka dodoki
Serikali iko paralyzed kabisa, hakuna mwenye mkakati kila anayejitokeza anaharibuKwa kifupi wanazidi kumlengeza Samia kwenye mashtaka na tuhuma za kufanya uhalifu dhidi ya binadamu.
Top manyota akiwa kilaza hadi chini lazima kuwe paralyized.Serikali iko paralyzed kabisa, hakuna mwenye mkakati kila anayejitokeza anaharibu
Kwa nini hamkumwambia huyo Samia asimamie utawala wa sheria na kutenda haki ?hivi mlitaka waendeleee mpaka lini? mnao wasikitikia huwa nawaonaga majuha kweli