Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
- Thread starter
-
- #21
Unaemwandikia hapa ni sehemu wa wapumbavu waliojaa huko CCM , Tiss na Serikalini.Kwa nini hamkumwambia huyo Samia asimamie utawala wa sheria na kutenda haki ?
Yaani mmeridhika Mahakama kuwa chini ya Samia, na bunge chini ya CCM ?
mngetenda haki tangu mwanzo hayo yote yasingetokea.
Kifungu kipi cha Sheria za ndani na za Kimataifa kinasema mwizi auwawe?Wizi mwingi umefanyika Tarehe 30
True, ila uhai bila haki ya kutafuta furaha, huo sio uhai.DUniani haki no 1 ni haki ya Uhai. Unapokatisha uhai wa mtu lazima dunia ikushughulikie
Ukiwa kilaza jitahidi usifungue mdomo kuonesha upumbavu wakoHii Nchi si yakucheka na nyinyi wapumbavu.
Watu wakiongea ukweli mnawaita machawa, Tarehe 29 wakati maandamano Yana Anza,Videozlinaonyesha walikuwepo Polisi na Wanajeshi.
Kadri maandamano yalivyokua yakisonga mbele likaibuka kundi kubwa lililoanza vitendo vya uchomaji mali na uporaji.
Wewe na mbumbumbu wenzako mlitegemea wale polisi waendelee kulinda maandamano na kuacha vijana wanao choma maliza umma na kupora waendelee hivyo.
Bila kutumia Risasi Leo Hii DAR isingekua hivi. DAR ingekua jivu na vifo na majeruhi yangekua maradufu ya vilivyo tokea.
Walistahili ku ku zuiwa kwa Risasi ingawa yalikua maamuzi magumu ila ndio yaliyo Fanya mpaka Sasa kuwe na DAR hii unayo Iona.
Vijana walikua wengi na wanafanya uharibifu kwa Kasi kuliko Nzige.
Kitu kibaya ni kua vijana walipo ona Risasi zinatembea Waka kimbilia majumbani ambako watu wema walikua wamejificha, Hilo lilisababisha Risasi ziwafikie ambao hawakuhusika.
Polisi walikua sahihi kutumia nguvu waliyo tumia ingawa imeleta vifo ila Nchi Bado ipo salama.
Hatukupenda watu wafe ila ilikua njia sahihi ya kuwa dhibiti majambazi.
Nawasihi polisi tarehe 9 wa andamanaji wakijichanganya kuleta ule upuuzi wa tarehe 29, Wasi pepese
Wapi kwenye Sheria za kimataifa na za ndani pameandikwa mwizi auwawe?Wizi mwingi umefanyika Tarehe 30
Aliyezuia Uhuru na Uhai ni huyu muuaji Samia na genge lakeTrue, ila uhai bila haki ya kutafuta furaha, huo sio uhai.
Right to pursue happiness/prosperity. Uhai wa mateso siyo uhai na uhai wunaozuia uhuru au raha ya mtu ya kihalali huo sio uhai.
Maana yangu ni kuwa Tarehe 30 waliokuwepo mitaani ni PolisiWapi kwenye Sheria za kimataifa na za ndani pameandikwa mwizi auwawe?
Na Polisi, KMKM, Waganda, TISS na JWTZ ndo waliua Watanganyika.Maana yangu ni kuwa Tarehe 30 waliokuwepo mitaani ni Polisi
Endeleeni kujilengesha tu. Msivyo na akili mnajaa tuHakuna siku tanzania itajisalimisha kwa wafanya vurugu
Nipe kifungu cha Sheria iwe ya Kimataifa au ya ndani inayosema kibaka auwawe?Hao ni vibaka tu
Issue siyo kujua mteja wake atakuja kuwa wa namna Gani!Mkuu sasa na wewe umebonyeza sana bhana!
Anayemtahiri shoga ana kosa gani?
Anajuaje kama mteja wake si mtoto riziki?