Nawaonea huruma wadada wasio na "mizigo" mikubwa

Nawaonea huruma wadada wasio na "mizigo" mikubwa

Wakuu mi niseme tu ukweli nikikutana na binti mrembo halafu awe ame pass like a shadow huku nyuma naanza kumuonea huruma.

Naanza kumsikitia nikiwaza jinsi anavyojifiria anapokutana na wenzake ambao Wana mzigo wanaojambia mbali.

Unakutana mjini na katoto kakali balaa ukigeuza shingo uangalie alichobeba chooni unakuta anadanganya work done zero hakuna kitu.

Nawashauri tu wadada slim muwe mnavaa hata zile chupi zenye matako ya ziada kidogo nitakuwa siumii roho nikiwaona.

Huwa nahisi kabisa hamjaridhika na mlichopewa. Ni sawa na Mimi Sasa hivi niwe Sina hela alafu niwe na kibamia halafu eti niseme naridhika tu na jinsi nilivyo nitakuwa nadanganya umma.

Nazungumzia wale ambao matako Yao madogoo kushinda hata ya boyfriends zao.

View attachment 1042924
Wa hivi wamejaa ARUSHA jamani mpk kero...! unakuta kidada sura safi ngoja kikupe mgongo huwezi jua kinaondoka ama kinakujia..[emoji45][emoji45][emoji45][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha, mie nakubaliana na wewe mkuu
mabinti wanaochangia humu 75% wanalo woo woo woo

25% iliyobaki hao hawana woo woo woo hata ujasiri wa kuchangia hawana kazi yao wanalike tu coment zinazosifia vimbau mbau [emoji23][emoji23]

maneno ya wataalamu hayo
Sent using Jamii Forums mobile app

MTC | 101| [emoji769]
 
Huu uzi huwezi kumwona Shunie ledada na manengelo
[emoji23][emoji23]na huyu kanizidi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20181219_225820.jpeg
 
Back
Top Bottom