Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimejiona asee itabidi nitafute kigodoro
Uje ujaribu uone kila mtu atakuuliza ulimtoa wapi huyu dada mpaka mchungaji wako atakuuliza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji55]
Mh. Mbona povu kama lote hivi 🗣️🗣️🗣️Whatevet,ili mradi nina vifaa vya kukalia,inatosha
Shida yenu kutunyoNg'onyeza vimbau mbau mshindwe..sie tunatafta pesa baba tu sasaUje ujaribu uone kila mtu atakuuliza ulimtoa wapi huyu dada mpaka mchungaji wako atakuuliza
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahah nyau kama wa sanchi uongo hahahahahahahahhaha
Hahaha hamna hivi kuna raha kuwa mwembambaShida yenu kutunyoNg'onyeza vimbau mbau mshindwe..sie tunatafta pesa baba tu sasa
Sema tu unamawazo sijui ya nn ungemzidi sanch aiseeeHahahahahah nyau kama wa sanchi uongo hahahahahahahahhaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeanza lini kunisanifu nyau?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeanza lini kunisanifu nyau?
😄😄😄 hapana boss..jokesMh. Mbona povu kama lote hivi 🗣️🗣️🗣️
Nawe pia mkuu majukumu memaAlasiri njema mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2186]
Nikajua ni wale wa sitting apparatus,😄😄😄 hapana boss..jokes
Wacha mkuu, kuna traffic mmoja huku kitaani amefunga mzigo balaa, akikata kona itabidi msubiri kwanza mana kiwiliwili kinapita mzigo bado upo nyuma unaweka jam ya kutoshaLakini wengine mmezidi makalio hayo jamani, mtu unamsubiri mlangoni apite haishi, anakuja tu kama treni, duh!