Nawaonea huruma wadada wasio na "mizigo" mikubwa

Jamani kila ndege na mti aupendao hakuna type ya mwanamke isiyo na soko. Mwanamke sahihi wa kumuoa ni simple girl hao wanene binafsi siwapendi maana hata kutoka out ni shidaaaa. Anatembea kidogo tu hoi na hata kwenye mambo yetu Yale yasiyo na chama wanawake wembamba wanajua na utaenda round nyingi kuliko wanene

Sent using Jamii Forums mobile app
NAKAZIA.

Hakunaga Miss World/Mrembo wa kidunia mwenye mat*ko na hatatokea kamwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani kila ndege na mti aupendao hakuna type ya mwanamke isiyo na soko. Mwanamke sahihi wa kumuoa ni simple girl hao wanene binafsi siwapendi maana hata kutoka out ni shidaaaa. Anatembea kidogo tu hoi na hata kwenye mambo yetu Yale yasiyo na chama wanawake wembamba wanajua na utaenda round nyingi kuliko wanene

Sent using Jamii Forums mobile app

100%its true wanene hawawezi kitu wale..
 
Ukioa mwanamke mwenye chura kubwa unajitafutia balaa, yaani unakua umeoa bango la biashara!! Mbaya zaid na yeye ajione kuwa ni mbora zaidi ya wengine, utakoma!

Kuna simple women, real simple, humble, easy to carry n smart upstairs!! Ewaaa, hawa sasa unakuwa umeoa brained computer! Unapata mengi, mama, mshauri, hot in bed, funny n many more!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha, asee

MTC | 101| [emoji769]
 
Unataka kihangaika na mat*ko feki/kichina ya nini lkn?

Inamaana Mungu aliyewaumba wasio na matako makubwa kama furushi la mitumba hakujua kuwa tuko Wanaume tunaowapenda?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha
Mie hayo HAPANA.... Tutako twangu tunanitosha kabisaaa!!!

Maendeleo hayana chama
 
Back
Top Bottom